Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

Kuna sehemu nilikuwa napanga zamani DAR niliona jamaa mmoja gentleman ambaye nilikuwa namuheshimu Sana .

Ila siku moja nilimshuhudia anapigwa vibao na mkewe .

Nilichojifunza usije ukaoa mwanamke kwa kusema utambadilisha hiyo haipo MTU anabidi awe amenyooka ndo umuoe na sio unaoa ili umbadilishe

"Ukiokota tunda jalalani usilalamike kuwa limeoza"
Huyo mwanaume ungeenda kumuongezea bao moja la kerbu huenda ungemzinduwa hayo madawa aliyolishwa.

Maana yake hapo mwanamke alikuwa anafanya test kama mganga wake yupo vizuri au anamchukulia pesa tu?
 
Back
Top Bottom