Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Nilitamani kuanzisha uzi wa hii ishu...Emanuel Macron Rais wa Ufaransa juzi akiwa amefika Vietnam na mkewe, wakati anashuka kwenye ndege mkewe kile kibibi kilimpiga kofi paap bila sababu, na akatulia na dunia nzima ikaona, wanawake wengi wanapenda drama sana ndio utaishi nao, usiwaweke kila kitu wazi, kuna mambo hutakiwi asilani kumwambia mwanamke.
Pia kitandani ujue anataka nini, ni kumpeleke huko huko anakotaka
Duu yule mbibi hivi daah hivi yule macron alilogwa kumuoa huyo jamani..mhh hivi unajua sielewi