Hio nyeto nayo pia mkono utahusika so ndio yaleyale ya nyama kwa nyamaNaacha mapenzi ya nyama Kwa nyama naungana na Mbaga Jr katika kulisongesha gurudumu la mamnyeto 😐.
Naepuka nyama ya Pudenda tu, ya mkono wangu haiwezi kuwa na athari hasi.Hio nyeto nayo pia mkono utahusika so ndio yaleyale ya nyama kwa nyama
Dawa ni kuishi nao tu Kwa akiliBaada ya zaidi ya miaka kama 14 nikitoa huduma inayohusiana sana na wanawake — kuwahudumia katika mazingira mbalimbali ya kijamii na kiafya — nimekuja kugundua jambo moja ambalo haliniingii vizuri akilini, lakini kila siku ushahidi wake unazidi kujionyesha: WANAWAKE WENGI HAWAPENDI MAHUSIANO YENYE UTULIVU. Ndio, nasema hivi kwa sababu kwa macho yangu mwenyewe, masikio yangu binafsi, na ushuhuda kutoka kwa mamia ya wanawake niliowahudumia kwa miaka yote hiyo, nimeona na kusikia vilio vya ajabu ajabu.
Wanawake wengi — hasa walio kwenye umri wa miaka 30 na kuendelea — wamewahi kuwa kwenye mahusiano mazuri, yenye amani na utulivu, lakini kwa namna fulani wanayaacha au wanayasababisha yavunjike. Ukiwauliza kwa nini, hakuna sababu ya msingi wanayoweza kutoa. Mwingine atasema “nilimchoka”, mwingine “hakuni-excite”, mwingine “yule alikuwa mpole sana”, au “sijui tu... sikuwa na furaha.” Lakini huwezi kupata majibu ya msingi au yenye mantiki ya kweli. Unagundua kwamba wamejizoesha mahusiano yenye mikikimikiki — ugomvi, drama, kulia kila wiki, kuchunguzana simu, kulazwa na presha ya mapenzi.
Kuna wanawake niliowahi kukutana nao, ambao ni warembo, wenye kazi nzuri au biashara, wenye malengo maishani, lakini mpaka sasa wana miaka zaidi ya 10 kwenye safari ya kutafuta mwenza wa kudumu. Wengi wana watoto, lakini hawako kwenye ndoa, na bado wanaendelea kulia, “wanaume hawaeleweki” au “sijampata yule wa kunistahili.” Lakini ukiwa karibu nao, unagundua kwamba mara nyingi wao wenyewe ndio chanzo cha machungu yao.
Inauma kusema, lakini ni kweli: baadhi ya wanawake hawataki mahusiano yenye utulivu kwa sababu hawajazoea. Wamezoea giza kiasi kwamba mwanga unawaumiza macho. Wamezoea vurugu kiasi kwamba amani inawapa wasiwasi. Wamezoea kusumbuliwa kiasi kwamba wakipewa mapenzi ya kweli wanahisi hawastahili au wanadhani kuna kitu kinajificha.
Mwanamke ni kiumbe kisichoeleweka......
Mbona kuna mahali niliona uliandika unapenda mwanaume mkali anayekukoromea...Hapana kwakweli,. Mie napenda utulivu
Nadhani mikiki inayozungumziwa hapa ni ile mwanaume anakua na mwanamke zaidi ya mmoja, kucheatiana mara kudhalilishana mara ukute vitu vya ajabu kwenye simu yake, hujakaa sawa condom kwenye gari,. mara uskie ana mchepuko mahali, muanze kurushiana vijembe na watu ( haki huu uswahili siuwezi ) ilimradi tu tafrani,. mda wote mwanamke inabidi upambane ili wewe uwe bora kuliko wengine na maugomvi yote ya namna hiyo,.Mbona kuna mahali niliona uliandika unapenda mwanaume mkali anayekukoromea...
hii naisikia kwa wanawake wengi sanakwajinsi mimi nilivyo na mambo mengi
sijajua kwa wengine,.hii naisikia kwa wanawake wengi sana
kwahiyo mwanaume akiongea kwa upole hamsikii, hamuelewi au inakuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine mtu hujaonyesha dalili zozote za kuchepuka lakini analazimisha akague simu. Unampa uhuru akague, anakagua na hakuti kitu chochote kibaya. Kisha anaamua kuingia mpaka kwenye deleted message kukusaka.
Unajiuliza huyu ndugu anatafuta nini kama sio vurugu
Sasa mbona na sisi watu wa Bagdadi pia hawatutaki?Hii kweli tupu - mikikimikiki Kama ile ya Piddy hadi kukojolewa mdomoni na Nyingine ya kula mavi Kama inavyoendelea kulipotiwa kwenye kesi huko marekani…
No reform no electionEm tuacheni kwanza😂😂😂
Acha zako wee ndo kabisa usipopigwa ngwala na kugeuzwa kama kambale hukaiHapana kwakweli,. Mie napenda utulivu
DIVISHENI FOO ya kweli haya😂Mke wangu namchapa vibao vya kutosha kabla ya kufanya naye tendo la ndoa.
Bila kufanya hivyo hafiki kileleni 😎.
Tafuta mkuu😂😂 kuna maisha baada ya konamiSijapata bado bhana 😂
Hiyo tabia yenu ndiyo inawafanya wengi wenu muangukie kwa wahuni/maplayboy/mme wa mtu na kuishia kuwa single mother. Unapata mtu katulia anaanza kuleta wenge na dunia ya sasa watu walio tulia na waaminifu wapo wachache kweli,kama ulimpata na ukamwacha sahau kumpata mwengine.Si ndio mliambiwa mkae nao kwa akli au?
Ukiona mwanamme unapata tabu kwa mwanamke wa aina hio basi ujue huna akili, waache wenye akili wakae nao kwa akili.
Ndio maumbile yetu kupelekeshwa na hisia sana, hilo halikwepeki.... hormones zinatufanya tuwe na mood swings....sio maskhara mwili kupata changes kila mwezi zaidi ya mara 2 au 3 inakuwa kama kichaa
Asante, naenda kuedit.Ni root cause. Hicho ulichoandika sio kingereza
Hahaha 😂DIVISHENI FOO ya kweli haya😂
Hapa mbona kama unamsema Selikavu sasa 😂Tafuta mkuu😂😂 kuna maisha baada ya konami