Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

Hapa mbona kama unamsema Selikavu sasa 😂
Mniache
Screenshot_20250529-230017_1.jpg
 
Mke wa kaka aliachwa kisa tu kaka ni mkamilifi yaani dosari hajawahi mlixa mke wake, yaani kakaa mchezaji wa Brazil jamani akaachwa na alikuwa mpole adi
 
Haya mambo yana root cause yake.. Sio kwa wanawake tu… Mtu yeyote aliyekulia kwenye chaos, peace inafeel like something is missing! Atatafuta excitement kwa kusababisha chaos, that’s not love.

However hata wanaume wameshazoeshwa heka heka, ukiwa mwanamke cool wanaona kama “you are not interested “
Nilikuwa natafuta hii comment, huu ndio msingi wa matatizo yote katika ukubwa wetu.

Ni chilhood experiences ambazo zinafanya wanawake au wanaume wabehave katika namna fulani.

Ndio maana ni muhimu sana kumuoa mwanamke ambaye baba yake anafanana tabia na wewe muowaji, hii itawafanya wanandoa wadumu sana kwa sababu mara nyingi mtoto wakike hudumu na mwanaume anayefanana tabia na baba yake.
 
Ukitulia wanadai umepoa kama uji wa mgonjwa, ukiwa hueleweki unaleta mititi wanaambizana umechachuka kama umetiwa ndimu na ndo wanaenjoy. kwa kifupi wanTaka fujo huku wakibembelezwa. yaani kwa kifupi hata wao hawajui ni nini wanataka. Mwanamke mwingini anaweza akakuchukia kisa hujawai kumchiti tu. Anatamani agombane na wenzie kisa wewe.
Ukimpata wa hivyo, chunguza aina ya maisha aliyoishi au mazingira aliyokulia/anayoishi.
 
Watu wengi wanaingia kwenye mahusiano wakiwa bado hawaja let go of the past.
Mkuu niliwahi kukuuliza namna gani tunaweza ku let go of the past(trauma/emotional scars)?

Maana hii ishu ni seruous sana nimekuja kugundua watu wanabehave kwa sababu walikuwa orogrammed hivyo from the beginning
 
Mkuu niliwahi kukuuliza namna gani tunaweza ku let go of the past(trauma/emotional scars)?

Maana hii ishu ni seruous sana nimekuja kugundua watu wanabehave kwa sababu walikuwa orogrammed hivyo from the beginning
Tunaweza ku let go of traumas kwa kutoa machungu yaliyopo mioyoni mwetu, njia pekee ya kuondoa hayo machungu ni kuexpress jambo lililokutokea kwa mtu mwingine. Inaweza kuwa rafiki yako wa karibu au hata mzazi wako.

Pia tunatakiwa tusijilaumu kwa past yetu wenyewe tunatakiwa tuchukulie ile past kama fundisho.
 
Kama kuna ka ukweli hivi.
Ebu waje
Ni kweli wakuu huu uzi jamaa hajakurukupa mimi hapa tunaugomvi na mke wangu hatuongei karibu week na siku sasa. Chanzo ni kwamba ukianza kuongea nae kuhusu mambo ya msingi kama kutunza afya zetu na watoto wetu anakuwa km vile unamsimanga hata utumie lugha ya upole kivipi yeye hataki kukosolewa basi nimeamua kumpotezea nafanya mambo yangu kimya kimya nikitaka demu nachapa nje huko na sijari hata na yeye agawe huko atajua mwenyewe sitaki vita nyumbani kwangu. Juzi nilipika hajala kasusa tukala na vijana wangu wale ambao wananizoea sana niliwahi kuwambia humu km mnakumbuka. Jana nimemwona kapika tukala lakini sina habari nae najari damu yangu kwa 💯%
 
Back
Top Bottom