Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

Hii jamiiforums ni sehem ya wanaume kuja kulia Lia et wanawake wanawatesa kimapenzi ubinafsi umewajaa utadhan wao ni wakamilifu kumbe..... Mwanamke ivi mwanamke vile aloooh wengine hatuwez expose mambo ya mahusiano humu ila wanaume ni viumbe vya ovyo kutokea kuumbwa
Tatizo ni kuwa wanawake hamueleweki. Mume akiamua kuspend muda wake kutafuta pesa mke anaanza kulalamika ya kuwa mme wake hamjali huyo mume akiamua kupunguza muda wa kutafuta pesa na kumjali mke wake mke anaanza kulalamika ya kuwa pesa ndani haitoshi.
 
Haya mambo yana root cause yake.. Sio kwa wanawake tu… Mtu yeyote aliyekulia kwenye chaos, peace inafeel like something is missing! Atatafuta excitement kwa kusababisha chaos, that’s not love.

However hata wanaume wameshazoeshwa heka heka, ukiwa mwanamke cool wanaona kama “you are not interested “
 
Sio kaukweli bali ni ukweli mkubwa. Wengi wao wanapenda sana drama. Ndio maana watu tulionyooka tunapata shida kuishi nao
Ukitulia wanadai umepoa kama uji wa mgonjwa, ukiwa hueleweki unaleta mititi wanaambizana umechachuka kama umetiwa ndimu na ndo wanaenjoy. kwa kifupi wanTaka fujo huku wakibembelezwa. yaani kwa kifupi hata wao hawajui ni nini wanataka. Mwanamke mwingini anaweza akakuchukia kisa hujawai kumchiti tu. Anatamani agombane na wenzie kisa wewe.
 
Haya mambo yana root course yake.. Sio kwa wanawake tu… Mtu yeyote aliyekulia kwenye chaos, peace inafeel like something is missing! Atatafuta excitement kwa kusababisha chaos, that’s not love.

However hata wanaume wameshazoeshwa heka heka, ukiwa mwanamke cool wanaona kama “you are not interested “
Watu wengi wanaingia kwenye mahusiano wakiwa bado hawaja let go of the past.
 
Si ndio mliambiwa mkae nao kwa akli au?

Ukiona mwanamme unapata tabu kwa mwanamke wa aina hio basi ujue huna akili, waache wenye akili wakae nao kwa akili.
Ndio maumbile yetu kupelekeshwa na hisia sana, hilo halikwepeki.... hormones zinatufanya tuwe na mood swings....sio maskhara mwili kupata changes kila mwezi zaidi ya mara 2 au 3 inakuwa kama kichaa
 
Na hisia ya kunyweshwa mkojo na kumla mavi huku akipakuliwa na male prostitute Kama inavyolipotiwa sasa kwenye kesi ya pdiddy huko USA - Hilo unalizungumziaje?
 
Si ndio mliambiwa mkae nao kwa akli au?

Ukiona mwanamme unapata tabu kwa mwanamke wa aina hio basi ujue huna akili, waache wenye akili wakae nao kwa akili.
Ndio maumbile yetu kupelekeshwa na hisia sana, hilo halikwepeki.... hormones zinatufanya tuwe na mood swings....sio maskhara mwili kupata changes kila mwezi zaidi ya mara 2 au 3 inakuwa kama kichaa
Mi naishi nao kibabe.
Nakuwa kama Tyson au Muhammed Ali, yaani ngumi na mateke yanatawala mapenzi yetu.
 
Halafu unakutana naye Akiwa ametoka huko anarudi na kusema bbe, nakupenda, nikupe French kissing - kumbe akina Pdiddy wamemnywesha mkojo wa kutosha na ametumia mdomo wake kuwalamba makalio Yao… hii kesi imenifanya niwe na kinyaa sana na hawa viumbe.
Naacha mapenzi ya nyama Kwa nyama naungana na Mbaga Jr katika kulisongesha gurudumu la mamnyeto 😐.
 
Back
Top Bottom