Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mbinu salama ya ku arrest mpk kuwateka! Tumefikia hatua ya kutekana ! Uko wapi ulinzi wa raia na mali zao, Shahibu katekwa chombo chake cha kazi kimetelekezwa,bado tuna haki ya kusema kuwa tupo huru?Serikali hailali... kuweni makini...
Utawala wa J K ulizidiwa na nguvu kubwa yawaliomumuua mwandishi kwa bomu wote walikamatwa na wakapelekwa mahakamani tukishuhudia,ulimboka na kibanda wapo hadi leo watatuambua kilichotokea hawakuuliwa kama kipindi cha awamu ya 5 amabpo mamia ya raia waliuliwa
Kinacho sikitisha serikali iko kimya,watu lazima walalamike,serikali isiyoweza kusimamia ulinzi na usalama wa watu wake inakosa uhalali wa kuwaongoza iliopasa kuwalinda,ni hilo tu.Yaani usalama ninaoamini mimi wateke mtu badala ya kumakamata kwa njia zao sahihi walizosomea na kumhoji badala yake wamteke kwa Noah? Bado hujanishawishi.
Vyombo vyote vya usalama Tz na Duniani vina taratibu zinazoeleweka.
Kinyume na hapo ni wasiojulikana tu
Naam, umeniita?
Hawatashindwa kukamata eti ni raia halali bali wanakamata watuhumiwa, msije kujidanganya eti Samia hana noma, thubuuuuutu mambo ya usalama wa nchi ni another level.Usalama kwanini uteke wananchi,kwanini usitumie njia ya kiungwana na kuwakamata kama wana mashaka nao,ili familia zao ziweze kujua ndugu zao wamehifadhiwa wapi. Kinachofanyika ni kuzua taharuki pasi na sababu. Wananchi wakinyamaza ndiyo wamepotea kabisa,just imagine Mtanzania eti usalama ana mteka Mtanzania mwenzake raia halali,hii haingi akilini abadani
Ndiyo nilidhani na wewe umerukiwa.Naam, umeniita?