Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Hivi ni vishindo vya wakoma waliokuwa wanadhani haiwezekani
Tuko chini ya masaa 72 kuelekea kilele cha D9.. Hakuna mjadala mwingine wowote unaowavutia Watanganyika zaidi ya D9.. Iwe mitandaoni au vijiweni
Wasanii wote chali..
Si wa nyimbo za kidunia
Si wa nyimbo za kiimani
Si wafanya maigizo
Si wachekeshaji nk
Kwa bahati mbaya ukiachana na Roma mkatoliki hakuna msanii mwingine (kama wapo waniwie radhi) Aliyechungulia nafasi hii adhimu ya kujiheshimisha kwa kuungana na Wazalendo wa Tanganyika... Hii nafasi wataijutia milele
Tunajua kwa hakika ninini kingewapata lakini walipaswa kujaribu maana jasiri haachi asili
Bado hata sasa hali ni tete! Utekaji bado umetamalaki.. Pengine kuna idadi na target kwa siku.. Lakini haya mambo yanaumiza sana
Zimetumika propaganda za kila aina kufumbaza D9.. Ya ukabila na ukanda ilipigwa dafrau mapema kabisa.. Ya udini ikachomekwa lakini nayo inapumulia mashine! Imefeli imeshindwa!
Kwa mshangao mkubwa nimewaona Leo wanaojiita chama cha mabondia wakitisha watu wasitoke D9.😂😂😂 Nikajisemea moyoni kuna kutumika halafu kuna kutumika vibaya! Halafu kuna kuishiwa kisha kuna kufilisika
Wanaojiita mabondia wa Dar wamekubali kutumika vibaya kwakuwa wameishiwa kisha wamefilidika
Kimaadili
Kimtazamo
Kifikra
Kimono na kifedha
Chawa walishatumika na wakaambulia aibu.. Sasa hata kea kurunzi kali huwezi kuwaona! Labda utumie hadubini.. Kumbe mabondia wetu ni miiili mikubwa ya bure lakini akili kisoda!
Kwenye uchenjuaji wa mwishomwisho kuelekea D9.. Sijui wataokotezwa kila nani tena!
Asili inasema.. Siku ya kufa nyani....!