Kumbe Watanganyika wanaweza kushikamana na kuongea sauti moja kwa ukubwa wake!

Kumbe Watanganyika wanaweza kushikamana na kuongea sauti moja kwa ukubwa wake!

TUTAWANYOOSHA.

Anaandika GODBLESS LEMA~

Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.

Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.

1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN

6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN

1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN

🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.

👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow

HUYU HAPA
 
Ndani ya masaa 19, Watanzania wamemchangia JOVIN KAAYA milioni 10 (10,000,000) kwa UTU WAKE na KUJITOA kumbeba mwenzie BARAKA gerezani na mahakamani, aliyevunjwa miguu na vikosi vya kihalifu vilivyoua Watanzania zaidi ya 10,000!

Mungu akubariki kila uliyetambua moyo wa kujitoa wa Jovin, na kumpa asante yako!

Kila walichofanya SAMIA NA WATU WAKE hakitafanikiwa KUTUTISHA, KUTUGAWA AU KUTURUDISHA NYUMA badala yake KITATUUNGANISHA, KITATUWEKA PAMOJA, na KWA PAMOJA HATUTAKUBALI TAIFA LETU LIBAKI SHIMONI, na UOVU HAUTATAWALA NCHI HII TENA!

HABARI NJEMA: TANZANIA MPYA IMESHAKUJA NA HAKUNA WA KUIZUIA KWA NAMNA YOYOTE ILE
1766729662270.jpg
 
Back
Top Bottom