Kumbe Watanganyika wanaweza kushikamana na kuongea sauti moja kwa ukubwa wake!

Kumbe Watanganyika wanaweza kushikamana na kuongea sauti moja kwa ukubwa wake!

Hii spirit ya GenZ imekumbusha hili shairi la Claude Mckay "If we Must Die" nilisoma high school. Hawa watoto wamekataa kufa kinyonge. Hili shairi liliandikwa na Claude McKay wakati wa "Red Summer" ya 1919 nchini Marekani, wakati vurugu za kipinga ubaguzi kwa jamii ya Watu Weusi.

Lilito
wito wa kudai haki dhidi ya ukandamizaji. McKay anasisitiza kwamba hata kama wamezidiwa nguvu lazima wapigane ili damu yao isimwagike bure.

" If We Must Die"

If we must die, let it not be like hogs
Hunted and penned in an inglorious spot,
While round us bark the mad and hungry dogs,
Making their mock at our accursed lot.

If we must die, O let us nobly die,
So that our precious blood may not be shed
In vain; then even the monsters we defy
Shall be constrained to honor us though dead!

O kinsmen! We must meet the common foe!
Though far outnumbered let us show us brave,
And for their thousand blows deal one death-blow!

What though before us lies the open grave?

Like men we’ll face the murderous, cowardly pack,
Pressed to the wall, dying, but fighting back!

Tafsiri ya Kiswahili isiyo rasmi

"Kama ni lazima Tufe"

Kama ni lazima tufe, isiwe kama nguruwe,
Tukiwindwa na kubananishwa kwa aibu,
Huku mbwa vichaa na wenye uchu wakibweka kutuzunguka,
Wakitucheka na kutudhihaki
Wakililaani kundi letu na kuliita la hovyo.

Kama ni lazima, basi tufe kwa heshima,
Ili damu yetu hii ya thamani isipotee bure;
Hata madhalimu tunaowapinga
Walazimike kutuheshimu hata tukiwa tumefariki!

Enyi ndugu zangu! Tupambane na adui wa taifa letu!
Hata kama wametuzidi idadi na nguvu, tuonyeshe ujasiri,
Na kwa mapigo yao elfu, sisi tupige pigo moja la kifo!

Hata kama mbele yetu kuna kaburi la wazi
Kama wanaume, lazima tukabiliane na genge hili la wauaji, wenye hofu,waoga, wakitembea kwa makundi,

Tupambane kijasiri! Hata kama tukisukumwa ukutani, karibu ya kufa.
Cc mfuaji Monetary doctor
 
Hivi ni vishindo vya wakoma waliokuwa wanadhani haiwezekani
Tuko chini ya masaa 72 kuelekea kilele cha D9.. Hakuna mjadala mwingine wowote unaowavutia Watanganyika zaidi ya D9.. Iwe mitandaoni au vijiweni

Wasanii wote chali..
Si wa nyimbo za kidunia
Si wa nyimbo za kiimani
Si wafanya maigizo
Si wachekeshaji nk

Kwa bahati mbaya ukiachana na Roma mkatoliki hakuna msanii mwingine (kama wapo waniwie radhi) Aliyechungulia nafasi hii adhimu ya kujiheshimisha kwa kuungana na Wazalendo wa Tanganyika... Hii nafasi wataijutia milele

Tunajua kwa hakika ninini kingewapata lakini walipaswa kujaribu maana jasiri haachi asili

Bado hata sasa hali ni tete! Utekaji bado umetamalaki.. Pengine kuna idadi na target kwa siku.. Lakini haya mambo yanaumiza sana

Zimetumika propaganda za kila aina kufumbaza D9.. Ya ukabila na ukanda ilipigwa dafrau mapema kabisa.. Ya udini ikachomekwa lakini nayo inapumulia mashine! Imefeli imeshindwa!

Kwa mshangao mkubwa nimewaona Leo wanaojiita chama cha mabondia wakitisha watu wasitoke D9.😂😂😂 Nikajisemea moyoni kuna kutumika halafu kuna kutumika vibaya! Halafu kuna kuishiwa kisha kuna kufilisika

Wanaojiita mabondia wa Dar wamekubali kutumika vibaya kwakuwa wameishiwa kisha wamefilidika
Kimaadili
Kimtazamo
Kifikra
Kimono na kifedha

Chawa walishatumika na wakaambulia aibu.. Sasa hata kea kurunzi kali huwezi kuwaona! Labda utumie hadubini.. Kumbe mabondia wetu ni miiili mikubwa ya bure lakini akili kisoda!

Kwenye uchenjuaji wa mwishomwisho kuelekea D9.. Sijui wataokotezwa kila nani tena!
Asili inasema.. Siku ya kufa nyani....!View attachment 3512439

Wewe mshana jr ni keybody warior hivyo huwezi niambia kitu! Mimi niliungana na magenz wenzangu wa Tarime kukiwasha lakini wewe uliandamana ndani!
 
Mabondia uchwara ngumi zimewashinda wamegeukia umwashambwa kinachofuata watageukia kupigwa miti
 
Mimi kabla ya Mo29 nilikua msomaji tu wa habari za Siasa kwakua najijua Niko aggressive Sana Kwenye ishu haki hivyo sikutaka kujihusisha direct na Siasa za bongo Niko Sana na Siasa za kimataifa ingawa ndugu yangu ni mwanasiasa Sasa kilichotokea Mo29 kimeniumiza mno na bado kimenitia wenge Sana na nitakua active kwelikweli.
 
Wewe mshana jr ni keybody warior hivyo huwezi niambia kitu! Mimi niliungana na magenz wenzangu wa Tarime kukiwasha lakini wewe uliandamana ndani!
Ni kama vile unajifanya kunifahanu sana
IMG-20251206-WA0041.jpg
 
nachopinga kwako ni wewe kujifanya unatushawishi wakati wewe hauandamani!! Mimi kama gen z D9 nitatoka(kama nilivyotoka 29) kwa maslahi ya nchi yangu na sio kwa ushawishi wa keybody warior kama wewe!
Bado uko palepale kujifanya unanijua sana! Sijui kwanini
 
Wanaojiita mabondia wa Dar wamekubali kutumika vibaya kwakuwa wameishiwa kisha wamefilidika
Kimaadili
Kimtazamo
Kifikra
Kimono na kifedha
Acheni kuhamasisha vijana ujinga, hivi Kuna jambo muhimu kuzidi amani katika ustawi wa nchi, Mali, na uhai. ?

Kuna muda maandika ujinga mpaka hatuwashangai tena kupigia chapuo uasi na mavurugu.
 
Hata yanayoendelea kwa majirani hatuna habari nayo .Na ukizingatia hatujaalikwa sasa🤣View attachment 3512440
Rais wa Kongo hakuridhika na akashindwa kuondoka walimzuia.

Ku sign mijataba ya kizungu wakati hakielewi anaelewa kifaransa, atashangaa ma beberu wakianza kuchimba madini Kinshasa, akikataa wanamuonyesha bilateral agreement aliyo sign.
 
Back
Top Bottom