Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

The Fixers, hili ni kundi la watu wanaoendesha maisha yao kwa mishe mishe, they are well connected, they are not the inheritors, hawana talent yoyote!, they are not the best brains, wengine ni vilaza, they are not hard workers, but they have the best life. Kundi hili ndilo lenye wanasiasa na matapeli pia. Kwenye kundi hili kuna the lucky ones wenye bahati, wanapata connections, na channels, wanapiga pesa ndefu na wanakuwa mamilionea na na mabilionea. Hawa the lucky ones, baadhi yao wana kitu kinachoitwa "The Midas Touch" everything they touch turns to gold wengine wanasemekana wanatumia 'kizizi'!. The unlucky ones ni wasio na bahati, kila wanachofanya kinakwama, kinaishia njiani au kikifika mwisho hakizai matunda, hawa wanasemwa kuwa na damu ya kunguni, hata ukiwapa ng'ombe, akizaa, anazaa dume!
Mamilionea hawa na Mabilionea hawa ndio walimo kwenye mifumo isiyioleweka kwenye uchumi, lakini ndio utapokuta (capital kubwa sana ya cash)Tanzania kuna hela.
..
 
Back
Top Bottom