Huo uzi nadhani nishawahi kuusoma na kuchangia wakat natumia id ya mondray, najaribu kuufungua haufunguki. au upo jukwaa la diniAfrican Believer Da'Vinci' zitto junior hearly na wengine Hebu ipitieni mada ya Swoon Hypothesis au mkaisome hapa Swoon Hypothesis: Nadharia kuhusu Kifo Msalabani na Kufufuka kwa Bwana Yesu
Buddha kazaliwa miaka zaidi ya 400 BC...hivyo ni sawa kabisa kusema labda Yesu alikuwa mfuasi wakeHebu tuwe watu wa tafakuri kidogo kipindi cha Yesu Buddha alikuwepo? Jibu ni HAPANA sasa inawezekana vipi awe mfuasi wa kitu kisichopo?
nimeshafika mkuu""...asante " ngoja nikae kitako niipitie sasa "".......African Believer Da'Vinci' zitto junior hearly na wengine Hebu ipitieni mada ya Swoon Hypothesis au mkaisome hapa Swoon Hypothesis: Nadharia kuhusu Kifo Msalabani na Kufufuka kwa Bwana Yesu
Nakubaliana nawe kwenye kuzaliwa lakini kwenye ufuasi hapana... Kwakuwa hawa walikuwa wa imani mbili tofauti kabisa Mungu vs miunguBuddha kazaliwa miaka zaidi ya 400 BC...hivyo ni sawa kabisa kusema labda Yesu alikuwa mfuasi wake
...anyway mimi ni mkristo ila with open mind
Limeshapata ufafanuzi... Buddha alimtangulia Kristo ila Kristo hawezi kuwa mfuasi wa Buddha kwakuwa doctrine zao hazifanani kabisaHili swali zuri!
..true that chiefLimeshapata ufafanuzi... Buddha alimtangulia Kristo ila Kristo hawezi kuwa mfuasi wa Buddha kwakuwa doctrine zao hazifanani kabisa
Aiseee "" dunia kweli ina mambo ""...Inaonekana " huyu mtu " ana nadharia nyingi mnooo"" kiasi kwamba " kuna nyingine zimepotoshwa kwaajili ya manufaa ya watu"""Taarifa za miaka 16 ya yesu kabla ya miaka 3 ya kuhubiri injili hazipatikani kwenye biblia pia hakuna kumbukumbu hizo.Pana nadharia Mbili maandiko yanasema alisurubiwa akafa,akazikwa akafufuka akapaa mbiguni kwa ushuhuda wa wanafunzi wake.Nadharia ya pili ina amini aliyesurubiwa sie Yesu,baada ya kutaka kuuwawa na Mayahudi alifanikiwa kutoroka na kuelekea India maeneo ya Kashmir Jirani na Pakistani ambapo aliendelea na utumishi hadi alipofia huko akiwa na miaka 80 na kaburi lake lingali hata sasa,na watu wanaenda kuzuru huko.
Dini ya Buddha ilianzia huko India miaka 500 BC/KY kwa maisha na mafundisho ya Buddha aliyeitwa GAUTAMA (enlighten one) ikimaanisha aliyeona nuru. Kulingana na vyanzo vya kale MWANA MFALME GAUTAMA (?563-483 BC/KY) alizaliwa kwenye maisha ya starehe, lakini baada ya kumuona mzee mmoja, mgonjwa na mwili wa mtu aliyekufa aligundua kuwa na yeye pia kuna siku moja atakuwa mzee aliyeshindwa na kufa. Alipokutana na mtu mwingine aliyetafuta ufumbuzi wa mambo ya maisha ya kiimani, Gautama alihamasika kuondoka nyumbani ili kupata ukombozi kutoka katika mzunguko usioisha wa kuzaliwa kuishi na kufa kupitia Yoga au Meditation.Hebu tuwe watu wa tafakuri kidogo kipindi cha Yesu Buddha alikuwepo? Jibu ni HAPANA sasa inawezekana vipi awe mfuasi wa kitu kisichopo?
Umesema " vizuri sana """Hoja zinazoibuka na kuhitaji majibu kutoka nje zipo nyingi na hushindwa kujibiwa na vitabu vyote vya dini, lakani za weza kujibiwa kwa kusoma vitabu vingine vya historia, kitu ambacho baadhi ya wanadini hawataki kukisikia japo ni vitu vyenye kuelezea dhana moja. Na ndio maana wafuasi wa dini zote hujikita kwenye kile walichorithi tu hata kama kina mapungufu kiasi gani. Na kwa sababu ya mapungufu ya kila upande yanayopeleke kukosekana kwa majibu ya maswali fulani fulani kila mmoja humuona mtu wa dini nyingine kama aliyepotea ilhali na yeye akiwa kwenye hali ileile.
mkuu hayo ni maoni yake mazuri.
Kuja kwa kristo ulimwenguni kulijulikana kwa kalamu na midomo,hata kabla hajazaliwa.Dini ya Buddha ilianzia huko India miaka 500 BC/KY Kwa maisha na mafundisho ya Buddha aliyeitwa GAUTAMA ikimaanisha aliyeona nuru. Kulingana na vyanzo vya kale MWANA MFALME GAUTAMA (?563-483 BC/KY) alizaliwa kwenye starehe, lakini baada ya kumuona mzee mmoja, mgonjwa na mwili wa mtu aliyekufa alifundua kuwa na yeye pia kuna siku moja atakuwa mzee aliyeshindwa na kufa. Alipokutana na mtu mwingine aliyetafuta ufumbuzi wa mambo Gautama alihamasika kuondoka nyumbani ili kupata ukombozi kutoka katika mzunguko usioisha wa kuzaliwa kuishi na kufa kupitia Yoga au Meditation.
Baada ya kufanikiwa kukomboka na mzunguko wa kuzaliwa kuumwa na kuwa mzee kisha kufa kwa kuoata nuru Nirvana . Kupitia Gautama dini ya Budha ilianza kupata wafuasi wa mwanzo kabisa miaka 500 kabla ya wakati wetu wa kawaida na makazi yao Sangha yaligeuka kuwa makazi ya watawa wa Kibuddha.
Dini ya Buddha ilianza kuenea kutoka kiini chake kuelekea maeneo mbalimbali zama za Mfalme Mauryan Mkuu wa Ashoka (272-232 BC) Na iliendelea kusambaa kuelekea kusini na mashariki mwa Asia. Ambapo matawi mawili makuu yalitokeza, Theravada (Mafundisho ya wazee) likipatikana Sri Lanka, Cambodia, Thailand pamoja na mataifa mengine ya Asia kusini na Mahayana (Gari kubwa) likienea China, Korea, Japani na Tibeti.
Kwa kupitia hiyo historia fupi utaweza kuona dini ya Budha ilianza mapema kabla ya UKRISTO na UISLAMU.
Chanzo: The Guinness Concise Encyclopedia (1993), London: Guinness Publishing LTD pp 290-91
@mshana jr hebu rudi kwenye swali lako la awali. lisome ili ujue ulichouliza na ukajibiwa.Nakubaliana nawe kwenye kuzaliwa lakini kwenye ufuasi hapana... Kwakuwa hawa walikuwa wa imani mbili tofauti kabisa Mungu vs miungu
me nadhani hata hili pia utapata jibu lake kama ulivopata jibu la swali lako la kwanza.Limeshapata ufafanuzi... Buddha alimtangulia Kristo ila Kristo hawezi kuwa mfuasi wa Buddha kwakuwa doctrine zao hazifanani kabisa
kwa ufahamu wako je unayo taarifa au maelezo kutoka kwenye biblia yanayoelezea historia ya yesu kipindi hicho akiwa na umri 13 mpaka 29 alikuwa wapi? biblia inatuambiaje maelezo ya kutoshaLimeshapata ufafanuzi... Buddha alimtangulia Kristo ila Kristo hawezi kuwa mfuasi wa Buddha kwakuwa doctrine zao hazifanani kabisa
mkuu umemsaidia vizuri sana bwana Mshana Jr. kikubwa anatakiwa awe mtafiti wa kufatilia badala ya kujifanya anajua kumbe hajui.Dini ya Buddha ilianzia huko India miaka 500 BC/KY Kwa maisha na mafundisho ya Buddha aliyeitwa GAUTAMA ikimaanisha aliyeona nuru. Kulingana na vyanzo vya kale MWANA MFALME GAUTAMA (?563-483 BC/KY) alizaliwa kwenye starehe, lakini baada ya kumuona mzee mmoja, mgonjwa na mwili wa mtu aliyekufa alifundua kuwa na yeye pia kuna siku moja atakuwa mzee aliyeshindwa na kufa. Alipokutana na mtu mwingine aliyetafuta ufumbuzi wa mambo Gautama alihamasika kuondoka nyumbani ili kupata ukombozi kutoka katika mzunguko usioisha wa kuzaliwa kuishi na kufa kupitia Yoga au Meditation.
Baada ya kufanikiwa kukomboka na mzunguko wa kuzaliwa kuumwa na kuwa mzee kisha kufa kwa kuoata nuru Nirvana . Kupitia Gautama dini ya Budha ilianza kupata wafuasi wa mwanzo kabisa miaka 500 kabla ya wakati wetu wa kawaida na makazi yao Sangha yaligeuka kuwa makazi ya watawa wa Kibuddha.
Dini ya Buddha ilianza kuenea kutoka kiini chake kuelekea maeneo mbalimbali zama za Mfalme Mauryan Mkuu wa Ashoka (272-232 BC) Na iliendelea kusambaa kuelekea kusini na mashariki mwa Asia. Ambapo matawi mawili makuu yalitokeza, Theravada (Mafundisho ya wazee) likipatikana Sri Lanka, Cambodia, Thailand pamoja na mataifa mengine ya Asia kusini na Mahayana (Gari kubwa) likienea China, Korea, Japani na Tibeti.
Kwa kupitia hiyo historia fupi utaweza kuona dini ya Budha ilianza mapema kabla ya UKRISTO na UISLAMU.
Chanzo: The Guinness Concise Encyclopedia (1993), London: Guinness Publishing LTD pp 290-91
Makubwa hayaTaarifa za miaka 16 ya yesu kabla ya miaka 3 ya kuhubiri injili hazipatikani kwenye biblia pia hakuna kumbukumbu hizo.Pana nadharia Mbili maandiko yanasema alisurubiwa akafa,akazikwa akafufuka akapaa mbiguni kwa ushuhuda wa wanafunzi wake.Nadharia ya pili ina amini aliyesurubiwa sie Yesu,baada ya kutaka kuuwawa na Mayahudi alifanikiwa kutoroka na kuelekea India maeneo ya Kashmir Jirani na Pakistani ambapo aliendelea na utumishi hadi alipofia huko akiwa na miaka 80 na kaburi lake lingali hata sasa,na watu wanaenda kuzuru huko.
Mwinjili YOHANA anasema mambo mengi yangeandikwa sizani kama.ulimwengu huu ungetosha sehemu ya kuhifadhia vitabu vyake, wapinga KRISTO wapo kaziniTeh teh yaani Yesu atoroke kuogopa kifo daah. Mkuu usipotoshe kua habar za utoto wa Yesu hazipatikani, sema yaliyomo kwenye biblia yaliwekwa kwa mahususi ya kukuza imani. Zaid ya Injili 20 ziliachwa zikapatikana 4 tu Luke,Mathew,Marko,John.
Hivyo waweza vuta picha ni habar nyingi kiasi gani ziliachwa
CC
Palantir
ivi hapa ni kristo anapingwa au watu wanafunuliwa wajue wasioyajua?Mwinjili YOHANA anasema mambo mengi yangeandikwa sizani kama.ulimwengu huu ungetosha sehemu ya kuhifadhia vitabu vyake, wapinga KRISTO wapo kazini