Kumbe Zanzibar hawana mchango wowote kwenye pato la Taifa. Inaumiza sana.

Shida ni Nyerere
Nyerere ndio kalifikisha taifa letu hapa. Nyerere kaleta mwenge ambao hauna faida yoyote kwa taifa, eti anawasadikisha Watanganyika kwamba mwenge unaleta amani, umoja, mshikamano na maendeleo. CCM imepasuka pasuka, mbona huo mwenge umeshindwa kuwaunganisha?
 
yule mzee alikuwa mshirikina sana. Ameiua Tanganyika na kuiletea Tanzania giza la kudumu
 
“Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
”
— Isaya 50:11 (Biblia Takatifu)
Chanzo cha huzuni nchini no mbegu aliyoipanda Nyerere. Bila Nyerere samuya asingekalia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…