Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

Wachache watakuelewa.

Ila umesema kweli, wewe Mwanaume unatakiwa ujione wa thamani Sanaa.

Mwanamke anakutegemea Kwa Kila kitu .

Ukiwa mjinga, ndo Ile ,unakila kitu lkn bado kabinti kadogoo kanakuendesha
Wanawake wa aina gani unawazungumzia mkuu.
Siku hizi Kuna wadada Wana Kila kitu mpk vingine anakushinda...hategemei chochite kutoka kwako haya kama si upendo kwako anatabaki kufanya nini?
Unafanyeje kuexpress unampenda kama si maneno mazuri, kumjali, kumpa time yako ambavyo mnaita kubembeleza.
Dunia imebadilika wazee.
 
Kila mtu ana jinsi yake ya kufanya mambo ikiwemo kutongoza.
Kuna mtu hamuambii mwanamke hata kidogo kwamba nakutaka lakini unakuta kashapewa mbususu.
Ni makosa kudhani ukiwa na hela unaweza mpata Kila mwanamke simply mkuu una ego kubwa sana na wanawake wanaojitambua itakuwa kazi sana kuwapata.
After all tukiondoa hela zako nini unaoffer kwenye mahusiano? (dada mmoja alishaleta huu Uzi hapa miaka ya nyuma).
Wanawake ni complex sana mkuu...wanapenda Kila kitu kubembelezwa, kudekezwa, kupetiwa petiwa ndio nature yao hakuna discussion katika hilo.
Very good kamanda my pride is based on commitment factor, mwanamke hata ufanyeje hawana kitu inaitwa commitment, funguka kamanda meseji yangu ni 360 degrees, Vaa uanaume katika muktadha wa nyanja zote utaelewa.

I understand differences and diversity kwenye approaches but deep in any swing is a pretence and a weaker tactic to win but a solid man is firm.

When you miss key parameters that shapes a true man ni rahisi kutumia njia tepetepe, I don't have to dance a woman tune to get her.

Anatata sawq hataki sawa, na huwa wanarudi hata kwa badae.

Naturally wanawake wanapenda na kumheshimu sana a man with pride.
 
AT the moment mnashake hands for the first time mwanamke anakupa signal i will let you smash .
huwa nawaambiaga wanawake kwenye dating game wapo na nguvu kuliko wanaume.
only bad guys, alpha and sigma huwa wanaelewa game linaendaje.

unakuta kijana anapoteza focus kwenye vitu vya msingi
why chasing somebody that does not want to be caught by you.

muvi hizi zimeharibu watu , hahahahaha sa siwanaonaga nice guy mwishowe anatunukiwa.
 
Swala hili ni more cultural than a principal. Wasichana wengi hasa waliokulia vijijini wamefundishwa kutokuwa cheap. Zamani tena ulitongoza hata miezi sita. Unaweza kumtongoza anakataa ilihali anakupenda. Eti anataka ajirizishe. Mimi wangu kanizungusha almost mwezi. Baadae kakubali . Utetezi wake ni kwamba alitaka kuona kama Niko serious ama nilitaka tu kumtumia. Mtazamo wako upo influenced na relationship coaches wazungu . this goes with their utamaduni. Hapa kwetu lazima uzunfushwe kidogo. Tena akikubali mara moja unashtuka.
 
kuukubali ukweli ni tatizo kubwa sana miongoni mwetu sisi wanaume.
women wapo na power kwenye dating game wengi hawataki kukubaliana na hili.
Na guts za kusimamia uanaume na kuiishi uanaume ndio napata mademu na respect zao, na haimaanishi niwe kwa ajili ya kila mwanamke.
 
Boss wangu sikupingi hila umeongea ukweli ukimbembeleza sana akikubalia utakoma
Mimi nilikuwa napelekeshwa kama mjinga

Mtu anakupigia cm saa tatu usiku nataka tropical kubwa kakata simu unapiga apokei unampelekea ukifika pale afungui mlango anakutumia sms nishanunua kampe hawala yako

Nilivyo kuja kugundua nilijuona lofa sana yaani hadi kwenye mechi akupimia

Siku nilio muacha nilipiga mechi ya nguvu nikasema kama unataka kwenda kuwaambia watu nimekubaka nenda akatulia nilipofika home nikamtumia text kila mtu afanye mambo yake nika block namba
 
Swala hili ni more cultural than a principal. Wasichana wengi hasa waliokulia vijijini wamefundishwa kutokuwa cheap. Zamani tena ulitongoza hata miezi sita. Unaweza kumtongoza anakataa ilihali anakupenda. Eti anataka ajirizishe. Mimi wangu kanizungusha almost mwezi. Baadae kakubali . Utetezi wake ni kwamba alitaka kuona kama Niko serious ama nilitaka tu kumtumia. Mtazamo wako upo influenced na relationship coaches wazungu . this goes with their utamaduni. Hapa kwetu lazima uzunfushwe kidogo. Tena akikubali mara moja unashtuka.
Wanawake wajanja sana hata hao wa kijijini wanaangalia unafananaje, unanini, kwenu mnahadhi gani, sifa za baba, wakaka, Mali zenu. Mimi nakazia sibembelezi wanarudi wao, ni nature I can't change
 
Wasalaam

Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala mnyanduano

Ebu fikiria una pesa, na akikubali yeye atakuwa anakutegemea na kuomba omba pesa.

Nimekula kiapo cha ubaharia na upambanaji siwezi kuwa mnyonge nikiwa natongoza mwanamke maana mwanaume ni mfalme na mfalme ni mbeba majukumu.

Nashindwa kuwa mnyonge wakati mimi ni kidume hio hapana, nikimtaka demu namchana live mie nakuelewa nataka uwe mpenzi wangu.

Uwe huru kukubali ama kukataa na sio lazima iwe muda huu. Upendo ni dhamira na sio tentemente tentemente nyingi.

I have nothing to prove mie mtu wa kawaida tu mwenye hisia so let me know if yes or no.

Kisha ndio naendelea kuagiza vitu na ale anywe ila ujumbe ashapewa, ataenjoy na nauli nampa.

Kutongoza ni kugawa baraka za upendo sio kulia shida au kuomba msaada, ndio sawa hapana sawa.

Mnaobembeleza hongereni kwa huo udhaifu wa kike.

Mjadala upo wazi

Wadiz_ pesa ni maisha na maisha ni pesa _ kataa unyonge tupambane
Imeisha hiyo
 
Mwanaume anayetumia nguvu nyingi kushindana na mwanamke ni dhaifu na hafai kuitwa mwanaume,
Jando lingerudi jamani mbona hiki kizazi kina vijana wateke wateke hivi! Mtaenda vitani kweli nyie ikitokea kimewaka au ndio mtavaa madera mjifiche kwenye migongo ya dada zenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah we dear.
 
Very good kamanda my pride is based on commitment factor, mwanamke hata ufanyeje hawana kitu inaitwa commitment, funguka kamanda meseji yangu ni 360 degrees, Vaa uanaume katika muktadha wa nyanja zote utaelewa.

I understand differences and diversity kwenye approaches but deep in any swing is a pretence and a weaker tactic to win but a solid man is firm.

When you miss key parameters that shapes a true man ni rahisi kutumia njia tepetepe, I don't have to dance a woman tune to get her.

Anatata sawq hataki sawa, na huwa wanarudi hata kwa badae.

Naturally wanawake wanapenda na kumheshimu sana a man with pride.
Key parameters that shape true man una maan gani? A man with a pride una maanisha nini? Mgomvi, mtukutu,? Unaconnect vipi hii reply yako na Uzi? Humbleness haijawai mtupa yeyote. Be humble utaheshimika si mpk uwe aggressive kwani mko vitani boss.

Mwanamke mpende hawana ujanja ukiwapenda hao ila hiyo njia yako itafanya kazi kwa wanawake nja nja.
 
Wanawake wa aina gani unawazungumzia mkuu.
Siku hizi Kuna wadada Wana Kila kitu mpk vingine anakushinda...hategemei chochite kutoka kwako haya kama si upendo kwako anatabaki kufanya nini?
Unafanyeje kuexpress unampenda kama si maneno mazuri, kumjali, kumpa time yako ambavyo mnaita kubembeleza.
Dunia imebadilika wazee.
Hujamwelewa wadiz ,hatujakataa kubembeleza lakini isivuke mipaka

Mwanaume mzima kulia lia ni kujishushia heshima
 
Key parameters that shape true man una maan gani? A man with a pride una maanisha nini? Mgomvi, mtukutu,? Unaconnect vipi hii reply yako na Uzi? Humbleness haijawai mtupa yeyote. Be humble utaheshimika si mpk uwe aggressive kwani mko vitani boss.

Mwanamke mpende hawana ujanja ukiwapenda hao ila hiyo njia yako itafanya kazi kwa wanawake nja nja.
Mwanamke ni kiumbe cha njaa ndio maana wameumbiwa kuomba omba.
 
Swala hili ni more cultural than a principal. Wasichana wengi hasa waliokulia vijijini wamefundishwa kutokuwa cheap. Zamani tena ulitongoza hata miezi sita. Unaweza kumtongoza anakataa ilihali anakupenda. Eti anataka ajirizishe. Mimi wangu kanizungusha almost mwezi. Baadae kakubali . Utetezi wake ni kwamba alitaka kuona kama Niko serious ama nilitaka tu kumtumia. Mtazamo wako upo influenced na relationship coaches wazungu . this goes with their utamaduni. Hapa kwetu lazima uzunfushwe kidogo. Tena akikubali mara moja unashtuka.
Bro!
kwa uelewa wangu,
she was not attracted to you to the first place.

Wanawake pia wanachagua mkuu, sasa hajavutiwa nawewe? wtf are you waiting for?
kilichotokea nikwamba amekupa favor (how does it feel?).

mwanamke akivutiwa nawewe atakutunuku hata ndani ya dakika chache tu. hakuna cultural wala social factor mkuu IT'S WOMAN NATURE AU NISEME HUMAN NATURE,
 
AT the moment mnashake hands for the first time mwanamke anakupa signal i will let you smash .
huwa nawaambiaga wanawake kwenye dating game wapo na nguvu kuliko wanaume.
only bad guys, alpha and sigma huwa wanaelewa game linaendaje.

unakuta kijana anapoteza focus kwenye vitu vya msingi
why chasing somebody that does not want to be caught by you.

muvi hizi zimeharibu watu , hahahahaha sa siwanaonaga nice guy mwishowe anatunukiwa.
Swala si unice guy Wala nini? Ni kutambua tu sheria za mchezo. Sasa kama ushaona hataki kuwa chased by you ujue ulishakosea, ulianza mchezo vibaya kijana. Na pia ujue huwezi mpata Kila mwanamke hata uwe n Kila kitu sababu nao wana preference zao. Haihitaji nguvu huu mchezo.
 
Hujamwelewa wadiz ,hatujakataa kubembeleza lakini isivuke mipaka

Mwanaume mzima kulia lia ni kujishushia heshima
Umeiweka vizuri sana, fikisha ujumbe mara moja basi haina haja kukumbushia mara, kulia Lia, umemaliza mwamba.

Women attach vale to exams and questions, and question marks.

They hate obvious.

My technique works for me.
 
Back
Top Bottom