Labda wale zamani miaka ya 90 sio hawa waliojaaa kama njugu, hii game sio lazima kama ni sawa iwe sawa kama ni hapana iwe sawa, akubali kwanza ndio mengine yaendelee au akatae iwe basi.
[/Unataka kuniambia Unataka
Labda wale zamani miaka ya 90 sio hawa waliojaaa kama njugu, hii game sio lazima kama ni sawa iwe sawa kama ni hapana iwe sawa, akubali kwanza ndio mengine yaendelee au akatae iwe basi.
Unataka kuniambia hata kama wamejaa kama njugu huhitaji kumshawishi awe wako? Wangapi wanamtongoza awaache akuchague wewe bila hata kumsahwishi? Huko kushawishi ni kufanyeje? Hata kumtoa dinner ni kubembeleza usajisahaulishe au hata dinner hamtaenda? Kw hiyo njia utapata mwamamke njaa njaa tu.