Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Wanawake wa aina gani unawazungumzia mkuu.Wachache watakuelewa.
Ila umesema kweli, wewe Mwanaume unatakiwa ujione wa thamani Sanaa.
Mwanamke anakutegemea Kwa Kila kitu .
Ukiwa mjinga, ndo Ile ,unakila kitu lkn bado kabinti kadogoo kanakuendesha
Very good kamanda my pride is based on commitment factor, mwanamke hata ufanyeje hawana kitu inaitwa commitment, funguka kamanda meseji yangu ni 360 degrees, Vaa uanaume katika muktadha wa nyanja zote utaelewa.Kila mtu ana jinsi yake ya kufanya mambo ikiwemo kutongoza.
Kuna mtu hamuambii mwanamke hata kidogo kwamba nakutaka lakini unakuta kashapewa mbususu.
Ni makosa kudhani ukiwa na hela unaweza mpata Kila mwanamke simply mkuu una ego kubwa sana na wanawake wanaojitambua itakuwa kazi sana kuwapata.
After all tukiondoa hela zako nini unaoffer kwenye mahusiano? (dada mmoja alishaleta huu Uzi hapa miaka ya nyuma).
Wanawake ni complex sana mkuu...wanapenda Kila kitu kubembelezwa, kudekezwa, kupetiwa petiwa ndio nature yao hakuna discussion katika hilo.
AT the moment mnashake hands for the first time mwanamke anakupa signal i will let you smash .Kila mtu ana jinsi yake ya kufanya mambo ikiwemo kutongoza.
Kuna mtu hamuambii mwanamke hata kidogo kwamba nakutaka lakini unakuta kashapewa mbususu.
Ni makosa kudhani ukiwa na hela unaweza mpata Kila mwanamke simply mkuu una ego kubwa sana na wanawake wanaojitambua itakuwa kazi sana kuwapata.
After all tukiondoa hela zako nini unaoffer kwenye mahusiano? (dada mmoja alishaleta huu Uzi hapa miaka ya nyuma).
Wanawake ni complex sana mkuu...wanapenda Kila kitu kubembelezwa, kudekezwa, kupetiwa petiwa ndio nature yao hakuna discussion katika hilo.
Na guts za kusimamia uanaume na kuiishi uanaume ndio napata mademu na respect zao, na haimaanishi niwe kwa ajili ya kila mwanamke.kuukubali ukweli ni tatizo kubwa sana miongoni mwetu sisi wanaume.
women wapo na power kwenye dating game wengi hawataki kukubaliana na hili.
Nikweli lkn mambo yawe mutualHv unajua kutongoza ni raha sana. Hujajua hii siri
Wanawake wajanja sana hata hao wa kijijini wanaangalia unafananaje, unanini, kwenu mnahadhi gani, sifa za baba, wakaka, Mali zenu. Mimi nakazia sibembelezi wanarudi wao, ni nature I can't changeSwala hili ni more cultural than a principal. Wasichana wengi hasa waliokulia vijijini wamefundishwa kutokuwa cheap. Zamani tena ulitongoza hata miezi sita. Unaweza kumtongoza anakataa ilihali anakupenda. Eti anataka ajirizishe. Mimi wangu kanizungusha almost mwezi. Baadae kakubali . Utetezi wake ni kwamba alitaka kuona kama Niko serious ama nilitaka tu kumtumia. Mtazamo wako upo influenced na relationship coaches wazungu . this goes with their utamaduni. Hapa kwetu lazima uzunfushwe kidogo. Tena akikubali mara moja unashtuka.
Imeisha hiyoWasalaam
Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala mnyanduano
Ebu fikiria una pesa, na akikubali yeye atakuwa anakutegemea na kuomba omba pesa.
Nimekula kiapo cha ubaharia na upambanaji siwezi kuwa mnyonge nikiwa natongoza mwanamke maana mwanaume ni mfalme na mfalme ni mbeba majukumu.
Nashindwa kuwa mnyonge wakati mimi ni kidume hio hapana, nikimtaka demu namchana live mie nakuelewa nataka uwe mpenzi wangu.
Uwe huru kukubali ama kukataa na sio lazima iwe muda huu. Upendo ni dhamira na sio tentemente tentemente nyingi.
I have nothing to prove mie mtu wa kawaida tu mwenye hisia so let me know if yes or no.
Kisha ndio naendelea kuagiza vitu na ale anywe ila ujumbe ashapewa, ataenjoy na nauli nampa.
Kutongoza ni kugawa baraka za upendo sio kulia shida au kuomba msaada, ndio sawa hapana sawa.
Mnaobembeleza hongereni kwa huo udhaifu wa kike.
Mjadala upo wazi
Wadiz_ pesa ni maisha na maisha ni pesa _ kataa unyonge tupambane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah we dear.Mwanaume anayetumia nguvu nyingi kushindana na mwanamke ni dhaifu na hafai kuitwa mwanaume,
Jando lingerudi jamani mbona hiki kizazi kina vijana wateke wateke hivi! Mtaenda vitani kweli nyie ikitokea kimewaka au ndio mtavaa madera mjifiche kwenye migongo ya dada zenu.
Key parameters that shape true man una maan gani? A man with a pride una maanisha nini? Mgomvi, mtukutu,? Unaconnect vipi hii reply yako na Uzi? Humbleness haijawai mtupa yeyote. Be humble utaheshimika si mpk uwe aggressive kwani mko vitani boss.Very good kamanda my pride is based on commitment factor, mwanamke hata ufanyeje hawana kitu inaitwa commitment, funguka kamanda meseji yangu ni 360 degrees, Vaa uanaume katika muktadha wa nyanja zote utaelewa.
I understand differences and diversity kwenye approaches but deep in any swing is a pretence and a weaker tactic to win but a solid man is firm.
When you miss key parameters that shapes a true man ni rahisi kutumia njia tepetepe, I don't have to dance a woman tune to get her.
Anatata sawq hataki sawa, na huwa wanarudi hata kwa badae.
Naturally wanawake wanapenda na kumheshimu sana a man with pride.
Hujamwelewa wadiz ,hatujakataa kubembeleza lakini isivuke mipakaWanawake wa aina gani unawazungumzia mkuu.
Siku hizi Kuna wadada Wana Kila kitu mpk vingine anakushinda...hategemei chochite kutoka kwako haya kama si upendo kwako anatabaki kufanya nini?
Unafanyeje kuexpress unampenda kama si maneno mazuri, kumjali, kumpa time yako ambavyo mnaita kubembeleza.
Dunia imebadilika wazee.
Mwanamke ni kiumbe cha njaa ndio maana wameumbiwa kuomba omba.Key parameters that shape true man una maan gani? A man with a pride una maanisha nini? Mgomvi, mtukutu,? Unaconnect vipi hii reply yako na Uzi? Humbleness haijawai mtupa yeyote. Be humble utaheshimika si mpk uwe aggressive kwani mko vitani boss.
Mwanamke mpende hawana ujanja ukiwapenda hao ila hiyo njia yako itafanya kazi kwa wanawake nja nja.
Bro!Swala hili ni more cultural than a principal. Wasichana wengi hasa waliokulia vijijini wamefundishwa kutokuwa cheap. Zamani tena ulitongoza hata miezi sita. Unaweza kumtongoza anakataa ilihali anakupenda. Eti anataka ajirizishe. Mimi wangu kanizungusha almost mwezi. Baadae kakubali . Utetezi wake ni kwamba alitaka kuona kama Niko serious ama nilitaka tu kumtumia. Mtazamo wako upo influenced na relationship coaches wazungu . this goes with their utamaduni. Hapa kwetu lazima uzunfushwe kidogo. Tena akikubali mara moja unashtuka.
Swala si unice guy Wala nini? Ni kutambua tu sheria za mchezo. Sasa kama ushaona hataki kuwa chased by you ujue ulishakosea, ulianza mchezo vibaya kijana. Na pia ujue huwezi mpata Kila mwanamke hata uwe n Kila kitu sababu nao wana preference zao. Haihitaji nguvu huu mchezo.AT the moment mnashake hands for the first time mwanamke anakupa signal i will let you smash .
huwa nawaambiaga wanawake kwenye dating game wapo na nguvu kuliko wanaume.
only bad guys, alpha and sigma huwa wanaelewa game linaendaje.
unakuta kijana anapoteza focus kwenye vitu vya msingi
why chasing somebody that does not want to be caught by you.
muvi hizi zimeharibu watu , hahahahaha sa siwanaonaga nice guy mwishowe anatunukiwa.
Raha gani kusoma meseji na jicho mojaHv unajua kutongoza ni raha sana. Hujajua hii siri
Umeiweka vizuri sana, fikisha ujumbe mara moja basi haina haja kukumbushia mara, kulia Lia, umemaliza mwamba.Hujamwelewa wadiz ,hatujakataa kubembeleza lakini isivuke mipaka
Mwanaume mzima kulia lia ni kujishushia heshima
AHSANTESwala si unice guy Wala nini? Ni kutambua tu sheria za mchezo. Sasa kama ushaona hataki kuwa chased by you ujue ulishakosea, ulianza mchezo vibaya kijana. Na pia ujue huwezi mpata Kila mwanamke hata uwe n Kila kitu sababu nao wana preference zao. Haihitaji nguvu huu mchezo.