Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

Uzi ufungwe mbona ishaeleweka

Kupigia magoti mwanamke ni umama sio ugentlemen

You have to approach her gently ila sio kinyonge as if she is the only one in the world au ukimkosa utakufa
 
Chukua Pepsi bariiidi kwa mangi ntalipa
 
Wewe ni handsome? Nani alikuambia?
 
Si wote wanakutana na usumbufu boss. Mbona hata me wanakutana na vishawishi ili wawatongoze wanawake? Huenda hujui na ni mgeni kwenye hili
 
Si wote wanakutana na usumbufu boss. Mbona hata me wanakutana na vishawishi ili wawatongoze wanawake? Huenda hujui na ni mgeni kwenye hili
ni kweli mkuu.
unajua mengi nilishayasema na nilishayaonyesha msimamo wangu post za mwanzo mkuu.
hayo mengine ni mbwembwe tu / inawezekana yakawa hayana maana kwako.
 
Unasema una hela, okay, unajishughulisha na kazi ipi? Uzi wako umelenga vijana wenye hela za kueleweka.
 
FITA NI FITA MURA,
Sisi tunataka fita,
Baada ya mafunso makari tukapanda vyeo kutoka kwenye ukopro hadi ubrigedia hadi ujenerali,
Sisi ni wataaram wa haya mambo tukiongea mutusikirise,
Nyenso pekee ya kushinda hii fita ni pesa na tunashinda kweri kweri,
Sisi wamiliki siraha hii deadly na ya kisasa ni washinti wa hii fita,

yani unaweka siraha mezani , maadui wanakuja kuishangaa, wanaripuka sisi tunashinta!!
NASEMA FITA IENDEREE NO RITRIT NO SURRENDER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…