- Thread starter
- #21
nani asiyeelewa sasa mimi au wewe? mnunuzi anafuata biadhaa zilipo na penye wepesi kwake, tatizo liko kwa watu wa mipango miji kutokupanga na kusiamamia miji.Tatizo huelewi kuwa wanaosababisha hii adha ni sisi ambao tunatumia daladala. Tuna tabia ya kufanya shopping tukitelemka kutoka katika daladala. Tukiacha tabia hiyo na wamachinga watahama. Hukomeshi tabia kwa kupambana na matokeo bali chanzo.
wewe unayemlaumu machinga unakuta ukienda mtaani kwani unatupa taka barabarani, unaishi umejenga holelala nako utasema sisi ndiyo tunapenda uholela?
tunatumia vitu vya holela kwa sababu wenye dhamana ya kuweka utaratibu hawako serious kutuwekea utaratibu na kuusiamamia.
na kuusimamia siyo kuacha mambo yanaenda hovyo alafu unakurupuka siku moja na kuharibu maisha ya watu.