Kumbuka hili kuhusu mwanamke uliyenaye akipoteza hisia na wewe

Kumbuka hili kuhusu mwanamke uliyenaye akipoteza hisia na wewe

Mkuu,huwezi kununua hisia feeling za mapenzi,huyo mwanamke ata pretend tu ila hatakua na feeling kwako.
Ni kweli sikatai ndo maana nikakwambia tafuta pesa the way unavyokuwa financially unstable ndivyo unatengeneza vishawishi kwa mwanamke wako pamoja dharau hata kama anaupendo vipi mzee point ile ile ukikosa pesa kwa wanawake wa sasa hiv lazima unyanyasike tu
 
Kabisa no money no honey wanavvyosema wenyewe.
Lakini kikubwa mwanawane tusake hela ili tuwe na uwezo wa kuamua when and who nagegeda na sio kiwa na mwanamke mmoja. Matumizi mabaya ya pesa hayo
 
Kila uamuzi anaofanya mwanamke anakuwa anajua nature ya mtu anayemfanyia mwanamke anaweza akachelewa kurudi kwake makusudi sababu anajua mme wake ni mtu wa maneno tu na hana uwezo wa kumfukuza the same ukiona anakusumbua anajua huwezi muacha

Sasa hilo linakuja si sababu ya pesa, mchane ukweli halaf jiamini.
Mwanamke anadhamini mwanaume ambae anajua muda wowote atamuweka pembeni akizingua
 
Alikudanganya nani wewe bwana ukiwa na pesa kwanza full confidence and women can spot it from a mile away.
Sasa huna hela pisi kali anataka kunywa moet wee unaleta confidence ya mapumbuz tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza unajua ukiwa na hela ata mbususu unaona takataka tuu maana zinajileta zenyewe so wewe unakuwa busy na mambo ya msingi ya kuvumbua vitu

Basi you have a problem, kama confidence yako umeijenga kwenye pesa , means pesa ikiondoka kujiamini kunaisha. Unarudisha mkia ndani kama mbwa koko

Maintain your frame ukiwa nazo na usipokuwa nazo

Ni hilo ni tatizo
 
Sasa hilo linakuja si sababu ya pesa, mchane ukweli halaf jiamini.
Mwanamke anadhamini mwanaume ambae anajua muda wowote atamuweka pembeni akizingua
Pesa yenyewe ni confidence tosha ukiwa na pesa hata manzi yako haitoonekana kwenye shida ndogo ndogo mzee( utamchana ukweli sitaki urudi umechelewa atakwambia alikuwa kazini na hawezi acha kazi) Bado nasimama na pesa... pesa itakufsnya ule papuchi ya kiwango chochote ile bila kusumbuliwa
 
Basi you have a problem, kama confidence yako umeijenga kwenye pesa , means pesa ikiondoka kujiamini kunaisha. Unarudisha mkia ndani kama mbwa koko

Maintain your frame ukiwa nazo na usipokuwa nazo

Ni hilo ni tatizo
Wee bwana mie wala sina tatizo wacha nitulie zangu wakati sina hela ila nikiwa na hela full kujimwambafy na warembo
 
Mtoa mada huwa anazikimbia nyuzi zake Hakuna siku utamuona akireply ujumbe wa watu.

Anyways,Hakuna mkate( mwanamke) mgumu mbele ya chai( pesa)
 
Pesa yenyewe ni confidence tosha ukiwa na pesa hata manzi yako haitoonekana kwenye shida ndogo ndogo mzee( utamchana ukweli sitaki urudi umechelewa atakwambia alikuwa kazini na hawezi acha kazi) Bado nasimama na pesa... pesa itakufsnya ule papuchi ya kiwango chochote ile bila kusumbuliwa

No pesa is not confidence, ila inaweza kutumika kuchochea confidence.

Unatakiwa uweze ku maintain frame yako ukiwa nazo na usipokuwa nazo. Otherwise ukipoteza kidogo tu unarudi kwenye uhalisia ambao hukumuonyesha ukiwa na pesa
 
Ushawahi sikia tajiri anateswa na mapenzi!!?
 
Mwanamke mmoja akikuzingua tafuta mwingine wapo wengi.Tatizo unamkomalia mmoja na kufanya akili Yako iamini kuwa BIla huyo wewe huwezi.Dawa ya mwanamke kama huyo tafuta mwanamke mwingine alafu huyo mpotezee ukishakula Mbususu huyo HaweZi kusumbua atakuwa wa ziada tu.
 
Alikudanganya nani wewe bwana ukiwa na pesa kwanza full confidence and women can spot it from a mile away.
Sasa huna hela pisi kali anataka kunywa moet wee unaleta confidence ya mapumbuz tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza unajua ukiwa na hela ata mbususu unaona takataka tuu maana zinajileta zenyewe so wewe unakuwa busy na mambo ya msingi ya kuvumbua vitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapeace ameku ignore, why mkuu ladies wanakuchukia sana?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapeace ameku ignore, why mkuu ladies wanakuchukia sana?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
bababa mwanaume ukiwa mkweli + huna hela wanawake wataku ignore tuu. ndio life langu hilo kwa sasa.
wacha siku nizisake warembo watajigonga gonga kwanza shenz type🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Utaona mwanamke haeleweki endapo hakupendi tena.

Kumbuka tena, ukiona mwanamke haeleweki kwako ujue anapoteza hisia na wewe.

Leo atakuonesha furaha kesho atakununia/ anakua kama hajawahi kukujua.

Atakuambia hili saivi alafu baadae atabadilisha.

Atakuwekea ugumu kukutana naye. Au kulala naye.

Mnaweza kuchati/ mkaongea vizuri lakini hilo halibadilishi uhalisia kwamba hamna ukaribu wa kimwili.

Atakua hajali kuhusu uwepo wako sana.

Atakua anakukosea kosea sana, au anakuudhi mno.

Ukiona hivyo ujue hana hisia na wewe tena.

Vyote ivo ni visababu tu mana hata ye hajui kwanini amepoteza hisia nawe.

Ndo mana inabidi uwe kiongozi wake ujue kwanini.

Epuka
  • Usimng’ang’anie zaidi ili akupende.
  • Usimgande ili awe na hisia nawe tena.
  • Usianze kumuhonga ili akupende tena.

Na zaidi usimuambie kuwa hana hisia na wewe tena, au kwanini hisia zake hazipo tena, au umuulize umfanyie nini ili hisia zake zirudi tena.

Kiujumla usimuulize kuhusu kwanini skuizi yupo hivyo.

Usimwambie skuizi sikuelewi.

Hayo yanakua kama petroli kwenye moto.

Yatachochea hisia zake kuondoka kwako haraka zaidi.

Ila utambue kuwa umejishusha thamani mbele yake.

Hivyo, irudishe na hisia zake zitarudi kwa nguvu zaidi.

Nikutakie Mwanzo Mwema wa Wiki.
Kama ni mke iankuwaje hapo?
 
Mwanamke mmoja akikuzingua tafuta mwingine wapo wengi.Tatizo unamkomalia mmoja na kufanya akili Yako iamini kuwa BIla huyo wewe huwezi.Dawa ya mwanamke kama huyo tafuta mwanamke mwingine alafu huyo mpotezee ukishakula Mbususu huyo HaweZi kusumbua atakuwa wa ziada tu.
alafu mwnamke ukishamkula mbususu mara tatu anakusumbuaje? nashindwa kuelewa kabisa maana hana jipya tena huyo.
na mwanamke pia mwanaume ukishampa utamu mpaka mchozi umemtoka hapaswi kukusumbua.
 
Mwanamke anampenda sana yule mwanaume ambae anajua kabisa akizingua muda wowote , mwanaumr anamuacha.

Hela sio kitu, hela ni kama pafyume tuu kwa wanawake , unaweza ukawa na hela na bado ukagongewa na wahuni wa mjini.

Hela inampa mwanaume tuu uhuru wakuchagua luxury good aitakayo kwa wakati huo nasio upendo kutoka kwa wanawake.

Unapo kuwa na hela mwanamke hakupendi bali anavutiwa na harufu ya hela hivyo anapenda hiyo harufu ili anukie vizuri, na akisha nukia vizuri anaenda kuliwa na muhuni muhuni tuu..

Silaha kuu ya kuwawin hawa viumbe ni hii hapa..

1: Mfanye mwanamke asiwe ndio maisha yako bali ni sehemu ya maisha yako kama vile ulivyo na asset ambazo sio za muhimu sana

2: Mfanye mwanamke ajue muda wowote unaweza kumuacha pindi anapoleta upuuzi

3: mchukulie mwanamke kama chombo cha starehe tuu nasio vinginevyo

4: Jitahidi siku zote kuvuruga uchumi binafsi wa mwanamke, ila usimkataze kufanya kazi.. vurugha uchumi wake hata kama anapewa mshahara aone kabisa sio wake bali ni wenu.

5: Jiamini na uwe ndiye msemaji wa mwisho kwake kama mwanaume.
 
Pesa ndo kila kitu mkuu... Ukiwa na pesa swala la kuteswa na mwanamke utakuwa ni ujinga wako
Anaweza kuwa hakupendi ila anapenda hizo pesa. We utaona unapendwa kumbe kuna kitu kinapendwa hapo...Kama mtu anakupenda kwa sababu ya pesa zako jua tu unamlazimisha
 
Back
Top Bottom