Snapdragon 8
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,046
- 3,781
Ni kweli sikatai ndo maana nikakwambia tafuta pesa the way unavyokuwa financially unstable ndivyo unatengeneza vishawishi kwa mwanamke wako pamoja dharau hata kama anaupendo vipi mzee point ile ile ukikosa pesa kwa wanawake wa sasa hiv lazima unyanyasike tuMkuu,huwezi kununua hisia feeling za mapenzi,huyo mwanamke ata pretend tu ila hatakua na feeling kwako.
Kabisa no money no honey wanavvyosema wenyewe.Ni kweli sikatai ndo maana nikakwambia tafuta pesa the way unavyokuwa financially unstable ndivyo unatengeneza vishawishi kwa mwanamke wako pamoja dharau hata kama anaupendo vipi mzee point ile ile ukikosa pesa kwa wanawake wa sasa hiv lazima unyanyasike tu
Kila uamuzi anaofanya mwanamke anakuwa anajua nature ya mtu anayemfanyia mwanamke anaweza akachelewa kurudi kwake makusudi sababu anajua mme wake ni mtu wa maneno tu na hana uwezo wa kumfukuza the same ukiona anakusumbua anajua huwezi muacha
Alikudanganya nani wewe bwana ukiwa na pesa kwanza full confidence and women can spot it from a mile away.
Sasa huna hela pisi kali anataka kunywa moet wee unaleta confidence ya mapumbuz tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza unajua ukiwa na hela ata mbususu unaona takataka tuu maana zinajileta zenyewe so wewe unakuwa busy na mambo ya msingi ya kuvumbua vitu
Pesa yenyewe ni confidence tosha ukiwa na pesa hata manzi yako haitoonekana kwenye shida ndogo ndogo mzee( utamchana ukweli sitaki urudi umechelewa atakwambia alikuwa kazini na hawezi acha kazi) Bado nasimama na pesa... pesa itakufsnya ule papuchi ya kiwango chochote ile bila kusumbuliwaSasa hilo linakuja si sababu ya pesa, mchane ukweli halaf jiamini.
Mwanamke anadhamini mwanaume ambae anajua muda wowote atamuweka pembeni akizingua
Wee bwana mie wala sina tatizo wacha nitulie zangu wakati sina hela ila nikiwa na hela full kujimwambafy na waremboBasi you have a problem, kama confidence yako umeijenga kwenye pesa , means pesa ikiondoka kujiamini kunaisha. Unarudisha mkia ndani kama mbwa koko
Maintain your frame ukiwa nazo na usipokuwa nazo
Ni hilo ni tatizo
Pesa yenyewe ni confidence tosha ukiwa na pesa hata manzi yako haitoonekana kwenye shida ndogo ndogo mzee( utamchana ukweli sitaki urudi umechelewa atakwambia alikuwa kazini na hawezi acha kazi) Bado nasimama na pesa... pesa itakufsnya ule papuchi ya kiwango chochote ile bila kusumbuliwa
Ushawahi sikia tajiri anateswa na mapenzi!!?No pesa is not confidence, ila inaweza kutumika kuchochea confidence.
Unatakiwa uweze ku maintain frame yako ukiwa nazo na usipokuwa nazo. Otherwise ukipoteza kidogo tu unarudi kwenye uhalisia ambao hukumuonyesha ukiwa na pesa
Ushawahi sikia tajiri anateswa na mapenzi!!?
Nilikuwa naangalia sijaona ame replyMtoa mada huwa anazikimbia nyuzi zake Hakuna siku utamuona akireply ujumbe wa watu.
Anyways,Hakuna mkate( mwanamke) mgumu mbele ya chai( pesa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapeace ameku ignore, why mkuu ladies wanakuchukia sana?Alikudanganya nani wewe bwana ukiwa na pesa kwanza full confidence and women can spot it from a mile away.
Sasa huna hela pisi kali anataka kunywa moet wee unaleta confidence ya mapumbuz tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza unajua ukiwa na hela ata mbususu unaona takataka tuu maana zinajileta zenyewe so wewe unakuwa busy na mambo ya msingi ya kuvumbua vitu
bababa mwanaume ukiwa mkweli + huna hela wanawake wataku ignore tuu. ndio life langu hilo kwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapeace ameku ignore, why mkuu ladies wanakuchukia sana?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kama ni mke iankuwaje hapo?Utaona mwanamke haeleweki endapo hakupendi tena.
Kumbuka tena, ukiona mwanamke haeleweki kwako ujue anapoteza hisia na wewe.
Leo atakuonesha furaha kesho atakununia/ anakua kama hajawahi kukujua.
Atakuambia hili saivi alafu baadae atabadilisha.
Atakuwekea ugumu kukutana naye. Au kulala naye.
Mnaweza kuchati/ mkaongea vizuri lakini hilo halibadilishi uhalisia kwamba hamna ukaribu wa kimwili.
Atakua hajali kuhusu uwepo wako sana.
Atakua anakukosea kosea sana, au anakuudhi mno.
Ukiona hivyo ujue hana hisia na wewe tena.
Vyote ivo ni visababu tu mana hata ye hajui kwanini amepoteza hisia nawe.
Ndo mana inabidi uwe kiongozi wake ujue kwanini.
Epuka
- Usimng’ang’anie zaidi ili akupende.
- Usimgande ili awe na hisia nawe tena.
- Usianze kumuhonga ili akupende tena.
Na zaidi usimuambie kuwa hana hisia na wewe tena, au kwanini hisia zake hazipo tena, au umuulize umfanyie nini ili hisia zake zirudi tena.
Kiujumla usimuulize kuhusu kwanini skuizi yupo hivyo.
Usimwambie skuizi sikuelewi.
Hayo yanakua kama petroli kwenye moto.
Yatachochea hisia zake kuondoka kwako haraka zaidi.
Ila utambue kuwa umejishusha thamani mbele yake.
Hivyo, irudishe na hisia zake zitarudi kwa nguvu zaidi.
Nikutakie Mwanzo Mwema wa Wiki.
alafu mwnamke ukishamkula mbususu mara tatu anakusumbuaje? nashindwa kuelewa kabisa maana hana jipya tena huyo.Mwanamke mmoja akikuzingua tafuta mwingine wapo wengi.Tatizo unamkomalia mmoja na kufanya akili Yako iamini kuwa BIla huyo wewe huwezi.Dawa ya mwanamke kama huyo tafuta mwanamke mwingine alafu huyo mpotezee ukishakula Mbususu huyo HaweZi kusumbua atakuwa wa ziada tu.
Anaweza kuwa hakupendi ila anapenda hizo pesa. We utaona unapendwa kumbe kuna kitu kinapendwa hapo...Kama mtu anakupenda kwa sababu ya pesa zako jua tu unamlazimishaPesa ndo kila kitu mkuu... Ukiwa na pesa swala la kuteswa na mwanamke utakuwa ni ujinga wako