Kumbukeni hii vita sio ya US/Israel dhidi ya Iran bali ni dhidi mamlaka ya kigaidi ya Iran/IRGC

Alafu wahuni wameshamchagua mwingine.🤣🤣🤣.
Sasa Kwa taarifa yenu Iran wanazo silaha za nyuklia ila mahali zilipo hata wao hawajui 🤣🤣🤣
Unacheka huku ukiangalia juu kama utalipuka😁😁

kama ni mtoto mnaupokea aisee🚨🚨
 
View attachment 3552836
Iran ni ya waajemi na sio ya utapeli wa itikadi kali.
Hujui kitu wewe nyamaza tu, Ugaidi Ugaidi!! Vita anaweza kushinda lakini ndo maana hata Washirika wakubwa wenzake km Uingereza,Hispania, Ufaransa wanampinga sana na kumchenga chenga kumsaidia moja Kwa moja wanamuona trump kama kichaa hivi
 
Jitu Zima linapalekeshwa kama litoto.🤣🤣🤣
Pesa nyingi sana hizo ukizi change kibongo bongo inazidi ht krillion..
Sema hao wakati mwingine serikali huwa Zina print pesa au kutumia hazina zake mafuta na dhahabu wanayoiba Duniani kote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…