The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
SanaOgopa sana technology. Sasa hapa sijui unakanaje? Kwamba haikua mimi π
AI modified, atakwambia hivyoOgopa sana technology. Sasa hapa sijui unakanaje? Kwamba haikua mimi π
Uzuri sever za JF hazizeekiAI modified, atakwambia hivyo
Na kweli, siku hiz ukibanwa koote unatupia lawama AI πAI modified, atakwambia hivyo
Kasoro MimbaNa kweli, siku hiz ukibanwa koote unatupia lawama AI π
Ndiyo maana mkoa wa Singida umejaa masikini na mafukara tupuOgopa sana technology. Sasa hapa sijui unakanaje? Kwamba haikua mimi π
Sababu ni nini mkuu, maana ndio kwa shujaa wetu TAL hukoNdiyo maana mkoa wa Singida umejaa masikini na mafukara tupu
Ukimuonesha sasa hivi asipoikana atakwambia alinukuliwa vibayaGT
Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha π π€£ π π kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
View attachment 3448037
Janja nyingi lazima atakuwa kashakimbia au kubadili IDalishakula ban au shida ni nn?
Itafika tu huko sio mbali mbonaKasoro Mimba
Mtu hawezi kusingizia mimba ni ya Aiπ
Huyu akiwa bado chadema kuna siku nilikutana naye kule DUCE akadai bado ana imani na ccm! Nilishangaa sanaOgopa sana technology. Sasa hapa sijui unakanaje? Kwamba haikua mimi π