Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

Mwaka 2009's enzi hizo Dr Kitila Mkumbo alinifundisha course moja ya education pale udsm ikiitwa SOCIAL PSYCHOLOGY, mifano na concepts nyingi alikua ni kuiponda Ccm mwanzo mwisho enzi hizo yuko Chadema. Leo 2025 nikimwangalia nachoka kabisa.
 
Hatari sana. Sasa yupo kwenye CCM ya hovyo bora hata kipindi kile lakini yupo kimya
 
Mwaka 2009's enzi hizo Dr Kitila Mkumbo alinifundisha course moja ya education pale udsm ikiitwa SOCIAL PSYCHOLOGY, mifano na concepts nyingi alikua ni kuiponda Ccm mwanzo mwisho enzi hizo yuko Chadema. Leo 2025 nikimwangalia nachoka kabisa.
Ndiyo ujue nchi imejaa matapeli tupu
 
Hawa kina kitila mkumbo ni maadui wa taifa, ni machawa, wanafiki, wachumia tumbo, walikuwa wanasaka nafasi ya kulamba asali, kwa kujidai kupiga kelele.

Kuna wapinzani wa aina kadhaa..
Feki kina zito, mbowe.
Wa ukweli nafikiri ni lisu pekee anakaa hapa
Watafuta fursa kina kitila mkumbo na wengineo.
 
Ipo nyingine alisema ili uwe mwanaccm mzuri lazima ujitoe akili na uwe mnafiki.

Angalia hapo #38

Post in thread 'New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!' New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

Hii hapa nyingine alisema Magufuli ni Kanyaboya.

Angalia #3

Hawa kina kitila mkumbo ni maadui wa taifa, ni machawa, wanafiki, wachumia tumbo, walikuwa wanasaka nafasi ya kulamba asali, kwa kujidai kupiga kelele.

Kuna wapinzani wa aina kadhaa..
Feki kina zito, mbowe.
Wa ukweli nafikiri ni lisu pekee anakaa hapa
Watafuta fursa kina kitila mkumbo na wengineo.
Ongezea na slaa...Ili watu mjifunze kwamba hakuna upinzani nchi hii,so msifanye mambo yatakayowaumiza kisa kuipinga CCM,na hii toka mrema,marando
 
GT
Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha 😆 🤣 😄 😂 kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..

View attachment 3448037
Usicheze na kulambishwa asali
😄, huyu wakati ule yuko na ki xtrail Nissan akishuka na libegi limejaa madokomaa
Sahv muda wote yyko kwenye v8 😄 anaendeshwa

Ova
 
Back
Top Bottom