Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

Mwaka 2009's enzi hizo Dr Kitila Mkumbo alinifundisha course moja ya education pale udsm ikiitwa SOCIAL PSYCHOLOGY, mifano na concepts nyingi alikua ni kuiponda Ccm mwanzo mwisho enzi hizo yuko Chadema. Leo 2025 nikimwangalia nachoka kabisa.
😄 usimuamini mwanasiasa hata siku moja

Ova
 
Mwaka 2009's enzi hizo Dr Kitila Mkumbo alinifundisha course moja ya education pale udsm ikiitwa SOCIAL PSYCHOLOGY, mifano na concepts nyingi alikua ni kuiponda Ccm mwanzo mwisho enzi hizo yuko Chadema. Leo 2025 nikimwangalia nachoka kabisa.
Born Again.
 
Huyo member mwenye jina la jasusi ndiyo jasusi mbobevu hayati membe?
 
Back
Top Bottom