KUMBUKIZI | Diamond Platnumz: Ukinifungia nyimbo, mimi hakunipunguzii Kitu, nita-perform Nchi nyingine

Mkuu unatuletea habari ya 2018 au ulikua gerezani ndo umeachiwa huru?
Nasubiri jibu. Isije ikawa jamaa kichwa chake huwa kina ji update kila baada ya miaka kadhaa mbele πŸ˜„
 
Wewe jamaa fala kweli Yani likilipu la zamani ndo unatuletea sasa hivi hata kabla hajajenga huko madaleπŸ˜€πŸ˜€madako yako mleta uzi eti hahame inchi
 
Mkuu mimi naongelea bongofleva sio muziki wa dansi
 
Kwani akihama Sisi tuna hasara gani
 
huko nanjilinji ndo mnavyoambiana diamond ndiye aliyeanzisha bongo fleva!kwakweli hayo maeneo ndo maana yanaongoza kwa kutoa watu wajinga
 
Wewe jamaa fala kweli Yani likilipu la zamani ndo unatuletea sasa hivi hata kabla hajajenga huko madaleπŸ˜€πŸ˜€madako yako mleta uzi eti hahame inchi
Mbona makasiriko mkuu? Kwani kama muziki wake ni wa kihuni mbona mashabiki wanauoenda? Punguza roho mbaya mkuu.
 
huko nanjilinji ndo mnavyoambiana diamond ndiye aliyeanzisha bongo fleva!kwakweli hayo maeneo ndo maana yanaongoza kwa kutoa watu wajinga
Waliotangulia walikuwa wanaimba hipa hop, akina Sir Nature na wenzake. Diamond ndiye alikuwa wa kwanza kuimba bongofleva mkuu. However, I stand to be corrected.
 
Aaah ningekuw mamlaka ningemkatia visa ya marekani ili akatoboe vizuri kimuziki
Akienda Marekani atatoboa ndani ya mwezi tu mkuu. Huku bongo wachawi wengi. Ukigeuka kushoto, unakutana na Dudubaya, ukigeuka kulia, BASATA hawa hapa. Hutoboi hata kidogo mkuu.
 
Hii habari ya lini ndugu mwandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…