OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkishauriwa kutenda haki muwe na masikio. Sabaya alionywa na Lema hakusikia.Leo yamemfika. Kwa mnaokumbuka vizuri Shujaa naye pia alionywa na huyu huyu Lema atende haki,hakusikia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Mkishauriwa kutenda haki muwe na masikio. Sabaya alionywa na Lema hakusikia.Leo yamemfika. Kwa mnaokumbuka vizuri Shujaa naye pia alionywa na huyu huyu Lema atende haki,hakusikia!
unateseka ukiwa wapi?kama inakuuma kamwambie bwana jela akutie wewe ndaniNa siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Mkishauriwa kutenda haki muwe na masikio. Sabaya alionywa na Lema hakusikia.Leo yamemfika. Kwa mnaokumbuka vizuri Shujaa naye pia alionywa na huyu huyu Lema atende haki,hakusikia!
Wewe zuzu una shida saaanaNa siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Umewahi kusoma au kusimuliwa kile kisa cha hekaya za Abunuasi? Kuna jamaa alikuwa anakata tawi la mti huku amekaa upande anaokata na alipoambiwa likianguka utaanguka nalo lakini akabisha? Na lilipoanguka akaanguka nalo kama alivyoambiwa lakini yeye akabaki kushangaa kuwa yule aliyemuonya alijuaje? Basi na nakuhakikisha wala mtu hahitaji kisomo cha darasa la saba kujua kuwa aliyokuwa anatenda Sabaya yangekuwa na mwisho na tena mbaya. Pia Magufuli alivyokuwa anadharau suala la korona wakati alikuwa na tatizo la moyo, kuna watu wengi wengi tu walishaona kuna uwezekano mkubwa wa matokeo mabaya. Ninachotaka kusema ni kuwa hayo yaliyotokea siyo kwa sababu Lema aliyasema bali alitoa tahadhari pale alipoona mtu anakata tawi la mti alilolikalia.Hivi lema Ana Nini kila akiongeacho kinatokea
Lema ni Nabii wa Mungu , bado NdugaiHivi lema Ana Nini kila akiongeacho kinatokea
Kama ana makosa nisawa tuNa siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Hivi lema Ana Nini kila akiongeacho kinatokea