Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.

Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
Kumbe Lissu ni mtu mwema? Mmechelewa sana, ukisikia kukinukisha ndo hiki, hapa ni mwendo wa kumsimanga Bi.Chura Kizimkazi na kundi lake la majizi hadi ateme ndoano. KUBABEKI💪🏽
 
Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.

Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
Hicho ndicho mastermind alitaka watu wajue. Mastermind wa engineered death always anataka kifo kionekane kuwa cha kawaida (sio matokeo ya foul play)!
 
Leo hii lissu kawa mwema kwenu? Mjuba unamtumia lissu kumpondea haphrey, huna msimamo. Akitokea mpinzani wenu mwingine anayewabonda hafrey atakuwa mzuri wakati huo, shem on you chawas at highest pro max
 
Lissu ni domokaya ndio maana alinyukwa risasi.

Domokongo hilo hilo limempeleka jela sasa hivi.

Huyu domokongo si ajabu alikuwa anatumiwa na MABEBERU na MAJIZI kumshambulia Magufuli kimkakati.
Sure Lissu mdomo wake uwa anaongea chochote anachoambiwa yeye alikua anatumiwa bila kujua na wanamtandao yule Mmachame aliekua Mwenyekiti wake baada ya kunyimwa fursa ya kwenda ikulu kunywa juice sasa hivi Lissu akitoka jela nafikiri atajua kwamba kuna kipindi alitumika tumsamehe kwa ilo ila apunguze kua anaongea kila anacholetewa ajifunze kuchuja vitu
 
Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.

Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo

Pole pole alikuwa msaidizi wa karibu wa Mzee magu

So tunamwamini yeye anachosema
 
Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.

Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo

Kumbe Polonium 210. Leo tumeamka na dondooo za kile tulichokuw tunajiuliza😂😂😂😂
 
Lissu ni domokaya ndio maana alinyukwa risasi.

Domokongo hilo hilo limempeleka jela sasa hivi.

Huyu domokongo si ajabu alikuwa anatumiwa na MABEBERU na MAJIZI kumshambulia Magufuli kimkakati.
Ni vizuri ukafiri na kupima maneno Yako kabla hata hujayasema ili uendelee kubaki na heshima uliyonayo kama unayo.
 
Si kweli media za Kenya ndio zilikuwa za kwanza kutoa taarifa ya Magufuli kuumwa na kulazwa March 10 Nairobi.

View: https://youtu.be/yDJsvQIqY4E?si=cZeMdZI2BaHGcrxO

Vyombo vya habari vya Kenya vilishangaa ukimya wa vile vya Tanzania kutokuhoji kwanini rais hayupo ofisini majuma takriban mawili na kukiwa hakuna taarifa yoyote hivyo kuacha kiti cha urais kikiwa wazi kinyume na katiba .

Tanzania habari ya kulazwa imetajwa tarehe 17 March na Samia akiwa anatangaza kifo ambapo alisema Magufuli alilazwa tangu tarehe 6 March

Mtu wa kwanza kutoa taarifa ya kifo alikuwa Evarist Chahali , March 12.

View: https://x.com/Chahali/status/1370473711715909638?t=xEBh8TB0wXDWIxVlL_jUGw&s=19

Lissu alikuwa Ubelgiji na Samia alikuwa Tanzania kwenye hili Samia hana cha kujitetea wala kujitoa endeleeni kutajana vizuri tujue ukweli .

No reforms no election.

Free Lissu.
 
Sure Lissu mdomo wake uwa anaongea chochote anachoambiwa yeye alikua anatumiwa bila kujua na wanamtandao yule Mmachame aliekua Mwenyekiti wake baada ya kunyimwa fursa ya kwenda ikulu kunywa juice sasa hivi Lissu akitoka jela nafikiri atajua kwamba kuna kipindi alitumika tumsamehe kwa ilo ila apunguze kua anaongea kila anacholetewa ajifunze kuchuja vitu
Lissu hajawahi kukanusha
 
Si kweli media za Kenya ndio zilikuwa za kwanza kutoa taarifa ya Magufuli kuumwa na kulazwa March 10.

View: https://youtu.be/yDJsvQIqY4E?si=cZeMdZI2BaHGcrxO

Vyombo vya habari vya Kenya vilishangaa ukimya wa vile vya Tanzania kutokuhoji kwanini rais hayupo ofisini majuma takriban mawili na kukiwa hakuna taarifa yoyote hivyo kuacha kiti cha urais kikiwa wazi kinyume na katiba .

Tanzania habari ya kulazwa imetajwa tarehe 17 March na Samia akiwa anatangaza kifo ambapo alisema Magufuli alilazwa tangu tarehe 6 March

Mtu wa kwanza kutoa taarifa ya kifo alikuwa Evarist Chahali , March 12.

View: https://x.com/Chahali/status/1370473711715909638?t=xEBh8TB0wXDWIxVlL_jUGw&s=19

Lissu alikuwa Ubelgiji na Samia alikuwa Tanzania kwenye hili Samia hana cha kujitetea wala kujitoa endeleeni kutajana vizuri tujue ukweli .

No reforms no election.

Free Lissu.

Wengi hawataki ushahidi, wanapenda majungu kama mleta mada.
 
Back
Top Bottom