Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.

Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
Kwa mujibu wa ndugu Humphrey Polepole, wanamtandao wakiongozwa na ndugu Jk ndiyo waliopanga njama za kumua ndugu JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
Haya aliyasema na kuthibitisha jana.
Madai haya hayajakanushwa bado na kuna jitihada kubwa sana za MICHAWA kuhamisha magoli.
Polepole amelonga, ajibiwe kwa hoja siyo viroja
 
Back
Top Bottom