Hivi ni ipi nafasi ya Falsafa kwenye jamii na ina umuhimu gani ?Kwa wengi wasiomfahamu ndio alikuwa Mmiliki wa gazeti la utambuzi liitwalo JITAMBUE na MSHAURI. Humo ndani kulijaa madini tupu ya falsafa kindakindaki, saikolijia, mambo ya kiroho kijamii hata utani na simulizi za kufurahisha sana
Hivi hapa ni Kibo au Kona ?Zilipokuwa ofisi za Jitambue Ubungo Kibo kituo cha BoschView attachment 1724008
Nafili unavyoumia, nilikuwa na nakala za kuanzia 2007 hadi 2009, sista angu alijitolea kupiga usafi ktk geto langu, kakuta nimezitandaza katikati ya chaga na godoro ye akaona kama ni uchafu so nilikuta magazeti yote kapiga kiberiti, hakuna siku niliyoumia kama siku hiyo!!Magazeti ya JITAMBUE yanaishi .
BROTHER Wangu aliingia kwenye drugs, akayabeba magazeti yote library akaenda kuyauza. It was my greatest heartbreak
Katika mtanadao wa Wikidepia Free Encyclopedia neno Falsafa (Kigiriki φιλοσοφία filosofía = upendo wa hekima) ni jaribio la kuelewa na kueleza ulimwengu kwa kutumia akili inayofuata njia ya mantiki.Hivi ni ipi nafasi ya Falsafa kwenye jamii na ina umuhimu gani ?
Dah wewe ndio mimi kabisa.. Wangu alikuwa mtoto wa ankoNafili unavyoumia, nilikuwa na nakala za kuanzia 2007 hadi 2009, sista angu alijitolea kupiga usafi ktk geto langu, kakuta nimezitandaza katikati ya chaga na godoro ye akaona kama ni uchafu so nilikuta magazeti yote kapiga kiberiti, hakuna siku niliyoumia kama siku hiyo!!
Jitambue lilikuwa linatoka Mara moja kwa wiki, kila jumatano mkuuGazeti lake lilikua linatoka j4 na alhamisi ,miongoni mwa vitu muhimu sana kwangu kipindi iko ni Gazeti la jitambue .
Jambo kubwa kupita yooooote nilijifunza kupitia makala ni hiii.
JE UNAJUA KUA NA WANAUME WANA SIKU ŹAO KAMA WANAWAKE ,ISIPOKUA HAWANA HADHI.
Hapa nakuweka sawa kidogo. Kwenye Uislamu kuna taratibu za ufanyaji wa kila jambo.Jiulize kwanini waislam hadi leo kaburi la mtume Mohamed lipo na wanakwenda kuhiji hii inaimarisha dini ya kiislam kwa YESU sina usemi maana alipaa mbinguni.
Hili jengi huwa naliona sana,sababu naliona liko baina ya Kona na Kibo.Kona ukitoka kibo hatua chache mbele kulia
Ahsante kwa kunirekebisha.Ila waislam ninachowapendea kwenye kuzika hawana mbwembwe na complications nyingi mfano kusakafia kwa marumaru,matarumbeta,maua,kuzikwa na pesa na magari kaburini.mtu anazikwa anagusa udogo moja kwa moja japo anazikwa na sanda.Hata kuiweka maiti muda mrefu hata mwezi na kuiangalia angalia muda wote hii kitu hakuna.Hapa nakuweka sawa kidogo. Kwenye Uislamu kuna taratibu za ufanyaji wa kila jambo.
Ni makosa kuweka uhusiano wa ibada ya Hija na kaburi la Mtume. Mitume huzikwa pale wanapofia, yaani sehemu ambayo amekufa mwili unasogezwa mwili kaburi linachimbwa anazikwa. Imekuwa hivyo sababu kihistoria mtume alifia kwenye nyumba, kaburi likachimbwa hapo hapo akazikwa, msikiti wa Makka, kutokana kutanuliwa kwake Kaburi likaingia ndani ya Msikiti.
Kadhalika kiislamu haifai kusafirisha maiti, sababu ardhi yote ni ya Mola, na tunacho usiwa sisi Waislamu kabla ya kufa, tuwe tumeandika usia wa kuwasihi watu ukifa wakuzike kama alivyofundisha Mtume, huu ndiyo utaratibu wetu na hili ni jambo la wajibu.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] ni wakati FAJI - Familia ya Jitambue inaanza kukua ndio mshumaa ukazimikaNakumbuka kichwa cha habari mwaka flani nadhani 2001 au 2002 wa gazeti lake kama ifuatavyo ''MAJUNGU KAZINI HUIMARISHA AFYA YA WAFANYAKAZI'' nilimwonyesha boss wangu alicheka sana.
Sasa ukisoma ndani ndio utashangaa kilichoandikwa yaani jumbe zote zilijaa falsafa kali nikagundua huyu jamaa alikuwa na kipaji sana maana unaweza ukaona kichwa cha habari ukasoma ukakuta vingine mfano maana yake alimaanisha kuwa kazini ili muajiri kazi yake iende vizuri wafanyakazi lazima wapate uhuru wa kubadilishana mawazo kupunguza stress sio kuwagawa wawe maadui RIP Tehana.Na nakumbuka kulikuwa na club ya Jitambue members.
Alikuwa na kipaji cha kuchambua mambo kama Mshana Jr