Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa.
''Wafanyabiashara wengi wanakichangia Chama cha Mapinduzi sio kwasababu wanakipenda sana ni kwa sababu ya hofu, Na usipotoa unaweza kuletewa TAKUKURU, Polisi TRA ukajikuta na wewe ni miongoni mwa wahanga kwasababu hujachangia chama.''