Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hii CCM hii kwakweli inatuchezea sanaHii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa.
Na huu ndio ukweli wenyewe ,CCM ni wanyang'anyi wa Mali za wananchiHii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa.
''Wafanyabiashara wengi wanakichangia Chama cha Mapinduzi sio kwasababu wanakipenda sana ni kwa sababu ya hofu, Na usipotoa unaweza kuletewa TAKUKURU, Polisi TRA ukajikuta na wewe ni miongoni mwa wahanga kwasababu hujachangia chama.''
Sana yaani muulize hata aliyegombea na gambo ubunge enzi zile Arusha, alifilisiwa mpaka leo masikini. Wafanya biashara wengi wa Vito Arusha ni masikini balaa hela zao waliporwa mpaka leoIkiwa leo ni siku ya Harambee ya kuchangia Shilingi Bil 100 kwa ajili ya kampeni za Mgombea Urais wa CCM, Zipo Tuhuma zilizotolewa na aliyekuwa Katibu wa Utikadi na Uenezi wa Chama hicho Paulo Makonda, kwamba wale wafanyabiashara wasiochangia ccm watakiona cha Mtema kuni (Hakuna aliyewahi kukanusha)
View attachment 3439123
Swali letu ni hili, Je habari hii ni ya kweli, na kwamba huu ndio msingi wa Harambee iliyoitishwa na Nchimbi?
Weeeee!!!Yu
Sana yaani muulize hata aliyegombea na gambo ubunge enzi zile Arusha, alifilisiwa mpaka leo masikini. Wafanya biashara wengi wa Vito Arusha ni masikini balaa hela zao waliporwa mpaka leo
Astaghafilullah!Usipochangia cccm jiandae kwa fitna kwenye biashara yako!!.
Jengo ulilojenga miaka na miaka gafla tu unaambiwa umejenga eneo la wazi linatakiwa kubomolewa hahahhaaah
Kisa tu umegoma kutoa mchango
Daaaah!Ukweli ni kwamba wengi watachanga pasipo hiari, watachangia kwa HOFU!!.
Na hv tena tukio limemhusisha Rais ndio kabsaaa!!.
Watachanga kwa shuruti ila mioyoni hawaikubali ccm!!.
Huchokagi uzushi wako wa siku zote? We mnyakyusa hiyo njaa yako ni ya nini mbn kwenu Kyela chakula ni bwerere? Acha kujidhalilisha, acha kudhalilisha wanyakyusa wenzako kwa kuendekeza njaaIkiwa leo ni siku ya Harambee ya kuchangia Shilingi Bil 100 kwa ajili ya kampeni za Mgombea Urais wa CCM, Zipo Tuhuma zilizotolewa na aliyekuwa Katibu wa Utikadi na Uenezi wa Chama hicho Paulo Makonda, kwamba wale wafanyabiashara wasiochangia ccm watakiona cha Mtema kuni (Hakuna aliyewahi kukanusha)
View attachment 3439123
Swali letu ni hili, Je habari hii ni ya kweli, na kwamba huu ndio msingi wa Harambee iliyoitishwa na Nchimbi?
Sasa Makonda ana njaa gani mkuu?Huchokagi uzushi wako wa siku zote? We mnyakyusa hiyo njaa yako ni ya nini mbn kwenu Kyela chakula ni bwerere? Acha kujidhalilisha, acha kudhalilisha wanyakyusa wenzako kwa kuendekeza njaa