Kumbukizi: Mtifuano wa Tundu Lissu na Anna Makinda Bungeni. Nini cha kujifunza?

Lissu anaweza kuwa Binadamu wa Kwanza au ktk miongoni mwa wachachwe wenye Uadilifu wa hali ya juu sana.
Na ndio maana watu wote wanapata shida sana kuwaaminisha wengine kwamba huyu TAL ni muongo maana anarudia rudia mambo yale yale ya siku zote, wizi, ukweli, ubadhirifu, uonevu na mengineyo. Anapitia mule mule kwenye maneno yale yale ya misumari ambayo wapinzani wake hawataki kuyasikia akiyasema. Yaana wanamtaka aweke super glue mdomoni ili wao waendelee na kula yao. Hapo ndipo ulipo mgogoro, je akubali kuongea au asiendelee? wanafanya kila aina ili kumnyamazisha hadi attempted assassination na yeye pia anafanya kila namna kuwafumua kwenye uovu wao. Ni Mwanga unaopigana na giza na ndio maana anapendwa sana na Watanzania.

Wakijua kukaa upande anaosimamia, ndio itakuwa salama yao, vinginevyo ni taabu tupu. Kimahesabu, Ni kama kuna kani ya uvutano wa Chanya na hasi. Chanya mara nyingi hushinda
 
TL yuko consistent
 
Hawa watu wanasikitisha.
 
My problem with Lisu is how he is handling/presenting his demands. Analeta hoja kwa kukigawa chama chake, kukiua , kukipasua vipande viwili!
Kwa hili mbowe is more poisonous kwa chama kiliko Tindu Lisu
 
BAADHI ya wabunge waliochangia hoja ya dharura bungeni leo wamewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, wawajibishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…