Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Enzi hizo TBC ilikuwa inaonesha Bunge Kipindi chote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio maana watu wote wanapata shida sana kuwaaminisha wengine kwamba huyu TAL ni muongo maana anarudia rudia mambo yale yale ya siku zote, wizi, ukweli, ubadhirifu, uonevu na mengineyo. Anapitia mule mule kwenye maneno yale yale ya misumari ambayo wapinzani wake hawataki kuyasikia akiyasema. Yaana wanamtaka aweke super glue mdomoni ili wao waendelee na kula yao. Hapo ndipo ulipo mgogoro, je akubali kuongea au asiendelee? wanafanya kila aina ili kumnyamazisha hadi attempted assassination na yeye pia anafanya kila namna kuwafumua kwenye uovu wao. Ni Mwanga unaopigana na giza na ndio maana anapendwa sana na Watanzania.Lissu anaweza kuwa Binadamu wa Kwanza au ktk miongoni mwa wachachwe wenye Uadilifu wa hali ya juu sana.
TL yuko consistentNa ndio maana watu wote wanapata shida sana kuwaaminisha wengine kwamba huyu TAL ni muongo maana anarudia rudia mambo yale yale ya siku zote, wizi, ukweli, ubadhirifu, uonevu na mengineyo. Anapitia mule mule kwenye maneno yale yale ya misumari ambayo wapinzani wake hawataki kuyasikia akiyasema. Yaana wanamtaka aweke super glue mdomoni ili wao waendelee na kula yao. Hapo ndipo ulipo mgogoro, je akubali kuongea au asiendelee? wanafanya kila aina ili kumnyamazisha hadi attempted assassination na yeye pia anafanya kila namna kuwafumua kwenye uovu wao. Ni Mwanga unaopigana na giza na ndio maana anapendwa sana na Watanzania.
Wakijua kukaa upande anaosimamia, ndio itakuwa salama yao, vinginevyo ni taabu tupu. Kimahesabu, Ni kama kuna kani ya uvutano wa Chanya na hasi. Chanya mara nyingi hushinda
Hawa watu wanasikitisha.Wewe unaposemaga msigwa kanunuliwa mboa huwekagi ushahidi wa kununuliwa kwake?
Unaposemaga bashite no muuaji, mbona huwekagi ushahidi?
Unaposemaga chadema ilishinda uchaguzi 2015 mbona huwekagi ushahidi?
Unaposemaga waziri fulani ni fisadi mbona huwekagi ushahidi?
Ushahidi unautaka akisemwa mbowe tu?
Kwa hili mbowe is more poisonous kwa chama kiliko Tindu LisuMy problem with Lisu is how he is handling/presenting his demands. Analeta hoja kwa kukigawa chama chake, kukiua , kukipasua vipande viwili!
Kosa gani alilofanya? Kugomea?Kwa hili mbowe is more poisonous kwa chama kiliko Tindu Lisu
Bila shaka sijachelewa pia nikiamua kuwa kama yeye.Yaani tangu 2014 nilipojifunza kwa Role Model wangu TL nimefanikiwa sana kwenye nyanja mbali mbali.
Maisha
Uchumi
Professionally
Mahusiano
Hadi politically
You still have plenty of time, you will achieve alotBila shaka sijachelewa pia nikiamua kuwa kama yeye.