Kumbukizi :Mwanafunzi wa Shule ya Kikatoliki amuua mwalimu kwa kumchoma kisu darasani.

Wakristo Wana chuki sana hao viumbe,, mi kwangu sipangishi iyo jamii kbs
Wewe sema wazi unafuata vizuri mafundisho ya Allah

Allah anasema
Koran 5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.....
 
Kwan huyo mwanafunz wa ufaransa nae c alikuwa mwislam Chief au umesahau
 



Tunaendele kujifunza somo la uadilifu ,kabla ya kusema mafundisho ya wengine hakikisha umekagua mafundisho Yako kwanza.
 
Huu ndio ukweli.Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.
 
Huu ndio ukweli.
 
Wakristo Wana chuki sana hao viumbe,, mi kwangu sipangishi iyo jamii kbs
Wala hao sio wakristo,mbona familia nyingi za kiislamu zinamchanganyiko na ndugu wakristo,hasa sehemu za mikoa ya Morogoro,Tanga na wanaishi vizuri na kushirikiana kwenye misiba na harusi.
 
Tena ya dk 90 tunasubiri extra time...
Ndiyo kusema umemjibu rafiki yako Jenta aka Popoma!!! Maana ndiye mwanzilishi wa huo uzi kama sijakosea. Na ameuleta kishabiki kama ilivyo kawaida yake.
 
Huu ndio ukweli.
 
Akili fupi za waislamu utazijua tu. Yani wao kutwa ni kushindana na ukristo, sasa unatafuta comeback ili? ujinga ujinga tu. Uislamu unapata tabu sana sababu ya inferiority complex na kushindana na asie na muda na wewe.
Sio kweli,wakristo wa uongo.ndio wanashindana na uislamu kama wewe.Wakristo wenyew hasa,wana undugu na waislamu,wanaishi vizuri.Ntinyi wakristo wa uongo,wakimbizi,ndio mnaoleta uchochezi.Wakristo watanzania na waislamu ni ndugu,hawabaguani.
 
Ooh kumbe ni mabishano ya hizi dini zetu zilizoletwa na wageni! Basi wendelee
Mambo ya majahazi sisi ni nani tuanze kuyakomalia wakati hatujui ilikuaje uzuri hizi dini hatupishani sana maana zote zimekuja na vyombo sawa noma ingekua kama moja imekuja kwa ndege aloo tungeambiwa hio ndege ilitoka mbinguni moja kwa moja
 
Akili fupi za waislamu utazijua tu. Yani wao kutwa ni kushindana na ukristo, sasa unatafuta comeback ili? ujinga ujinga tu. Uislamu unapata tabu sana sababu ya inferiority complex na kushindana na asie na muda na wewe.
Punguza ujinga wewe,migalatia ndio kukiwa na mada inahusu ukristo lazima iingize uislamu,we mama acha kukurupuka bila kanga.
 
View attachment 2696017


Tunaendele kujifunza somo la uadilifu ,kabla ya kusema mafundisho ya wengine hakikisha umekagua mafundisho Yako kwanza.View attachment 2696020
Mnafundisha vijana ugaidi wakifanya kwa vitendo mnalialia

Muanjilishi huyu hapa
Muhammad said; I have been given superiority over the other prophets in six respects: I have been given words which are concise but comprehensive in meaning; I have been helped by terror (in the hearts of enemies):......Sahih Muslim 523a
 
Yesu anasema
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Yesu asema
"Msidhani nimekuja kuleta amani,sikuja kuketa amani bali upanga "
Matthew 26:39-46
 
Punguza ujinga wewe,migalatia ndio kukiwa na mada inahusu ukristo lazima iingize uislamu,we mama acha kukurupuka bila kanga.
Mjinga ni wewe na mtume wako muongo muongo, hiyo mada kaweka kusudi ili tuongee, nendeni qiblatain pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…