adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
- Thread starter
- #41
Hahaha!! lengo sio kujibu bali ni kuasa tuwe waadilifu yeye hakufanya vibaya kuleta taarifa japo kama kawaida yake katia udambwidambwi mwingin kwenye uzi kiasi ambacho ukawa kama wa kishabiki kitu ambacho ni makosa katika jambo kama lile na nikaona Abuu yaseer akamkosoa vizuri makosa katika udambwidambwi alioongeza.Ndiyo kusema umemjibu rafiki yako Jenta aka Popoma!!! Maana ndiye mwanzilishi wa huo uzi kama sijakosea. Na ameuleta kishabiki kama ilivyo kawaida yake.
Kilichosikitisha zaidi ni wachangiaji asimia kubwa kukosa uadilifu na kuzungumza kimhemko..