Hahaha!! lengo sio kujibu bali ni kuasa tuwe waadilifu yeye hakufanya vibaya kuleta taarifa japo kama kawaida yake katia udambwidambwi mwingin kwenye uzi kiasi ambacho ukawa kama wa kishabiki kitu ambacho ni makosa katika jambo kama lile na nikaona Abuu yaseer akamkosoa vizuri makosa katika udambwidambwi alioongeza.Ndiyo kusema umemjibu rafiki yako Jenta aka Popoma!!! Maana ndiye mwanzilishi wa huo uzi kama sijakosea. Na ameuleta kishabiki kama ilivyo kawaida yake.
Si ndio nyie msiotupenda mkaja kutuua na kutupinga kila jambo. Alafu bibilia haitafsiriwi kizembe zembe hivo kuna exegesis na context, unadhani hii ni kama ule uharo wenu.Yesu anasema
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Yesu asema
"Msidhani nimekuja kuleta amani,sikuja kuketa amani bali upanga "
Matthew 26:39-46
Kwani wewe punguani umeitwa kwenye hii mada? Nenda ukakanyage mafuta ya upako ili upate utajiri wa kimiujiza bila kufanya kazi,usisahau kununua na chumvi ya upako.Mjinga ni wewe na mtume wako muongo muongo, hiyo mada kaweka kusudi ili tuongee, nendeni qiblatain pale
Yesu anasemaMjinga ni wewe na mtume wako muongo muongo, hiyo mada kaweka kusudi ili tuongee, nendeni qiblatain pale
Mashoga hua mnapenda kuwaza uharo,vipi hua mpaka unakutoka huo uharo?Si ndio nyie msiotupenda mkaja kutuua na kutupinga kila jambo. Alafu bibilia haitafsiriwi kizembe zembe hivo kuna exegesis na context, unadhani hii ni kama ule uharo wenu.
Kwahiyo hiyo vita alioisema YESU ndiyo imeanza mwanafunzi kumuua Mwl wake? Kumbe Bible mnaisoma vizuri da mpo vizuri sana, bado kuilelewa tu.Yesu anasema
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Yesu asema
"Msidhani nimekuja kuleta amani,sikuja kuketa amani bali upanga "
Matthew 26:39-46
Mimi kazi yangu nishamaliza na sasa nakupuuza rasmi ,huwa sipendelei mabishano na watu wa dizaini yako ambao mabishano kwenu kama kazi inayokuingizia kipato cha kila siku.Afadhali ungekuwa unaofuata kanuni za majadiliano ..Mnafundisha vijana ugaidi wakifanya kwa vitendo mnalialia
Muanjilishi huyu hapa
Muhammad said; I have been given superiority over the other prophets in six respects: I have been given words which are concise but comprehensive in meaning; I have been helped by terror (in the hearts of enemies):......Sahih Muslim 523a
Uchambuzi maalumu: Uzi wa Padri kulawiti watoto Vs Sheikh kulawiti watoto
Habari za muda huu wana JF Baada ya kuibuka hivi karibuni matukio ya viongozi wa dini kulawiti na kupitia michango ya wadau mbalimbali humu kuna mambo nimeona muhimu kugusia. Inapaswa kutambua kuwa kwa zama hizi suala la malezi na maadili linapitia wakati mgumu mno maana kila sehemu usalama...www.jamiiforums.com
Uzi huu unauchambuzi zaidi juu ya mentality mbovu miongoni mwao watu humu.
Che mittoga
Yesu anasema
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Yesu asema
"Msidhani nimekuja kuleta amani,sikuja kuketa amani bali upanga "
Matthew 26:39-46
Tukisema tuweke vifungu Moja kuwa moja katika maandiko ya vitabu vya dini mtu utakosea vitu vingi.Wewe sema wazi unafuata vizuri mafundisho ya Allah
Allah anasema
Koran 5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.....
Labda itakuwa umechanganya matukio .Hili nililoleta uzi aliyefanya ni mwanafunzi wa Shule hiyo hiyo na sio mvamizi sasa niambie kama mwanafunzi wa hiyo shule ya Kikatoliki alikuwa Muislamu.Kwan huyo mwanafunz wa ufaransa nae c alikuwa mwislam Chief au umesahau
Allah anasemaWala hao sio wakristo,mbona familia nyingi za kiislamu zinamchanganyiko na ndugu wakristo,hasa sehemu za mikoa ya Morogoro,Tanga na wanaishi vizuri na kushirikiana kwenye misiba na harusi.
Waislamu wanafanya unafiki au hawajui mafundisho ya AllahWakristo na waislamu wengi katika mikoa ya Pwani ni ndugu wa ukoo mmoja,na wanashirikiana katika misiba na harusi.
Unafahamu context yake? alikuwa mazingira gani? au unarukiarukia tu vitabu usivovielewa?Yesu anasema
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Watu wa namna hiyo mfano huyu jamaa na wenzake mokiti na Capo delgado ni wakuwapuuza tu.Mashoga hua mnapenda kuwaza uharo,vipi hua mpaka unakutoka huo uharo?
Mashoga wapo waliokuletea ushuzi unaosoma kinyumeyume mpaka mnafanywa kinyumenyume na waarabuMashoga hua mnapenda kuwaza uharo,vipi hua mpaka unakutoka huo uharo?
Literal translation/interpretation of the bible tunawaachiaga small minds.Yesu anasema
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3