Kumbukizi :Mwanafunzi wa Shule ya Kikatoliki amuua mwalimu kwa kumchoma kisu darasani.

Kwamba mnataka kwepesha gaidi alichomfanyia pale Kawe?
Hiyo ni tabia binafsi kama ambavyo mtu anumua mpenzi wake kwa ajili ya wivu wa mapenzi.

Alichokifanya huyo ni kitendo kiovu kabisa na hakumua kea sababu za dini kama wale wanaojipua wanavyodai.

Tatizo ni watu kukosa uadilifu kuhusisha dini yake na kile alichokifanya hapo sio sawa kabisa.Hata Maghayo japo mfia ugalatia ameliona hili hana huo ujinga amegundua kabisa kwamba sio jambo la haki.
 
Kina nani hujilipua duniani?
 
Kwahio mnashindana?
Sio kushindana ninkufundisha somo la uadilifu watu wanaua kwa sababu mbalimbali si vizuri kuhusisha dini yake na tukio binafsi haswa sababu ya tukio hilo sio la kidini.
 
Sio kweli,wakristo wa uongo.ndio wanashindana na uislamu kama wewe.Wakristo wenyew hasa,wana undugu na waislamu,wanaishi vizuri.Ntinyi wakristo wa uongo,wakimbizi,ndio mnaoleta uchochezi.Wakristo watanzania na waislamu ni ndugu,hawabaguani.
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.
 
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.
Qu'ran ina misingi yake ya Exegesis ,kila aya ina misingi yake ya kutolewa na kuiendea na kuitekeleza ..
 
Yesu anasema
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Muwafundishe waislamu wayajue mafundisho na maamrisho ya Allah , kwamba ata ndugu ,mzazi kaka dada wakiwa ni wakristo basi hawatakiwi kuwa na urafiki nao kabisa

Allah kasema
9;23. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....

Allah mpaka Baba na Mama Yako anasema kama sio waislamu wachukie (usiwapende kabisa)
 
Mbona andiko lipo wazi kabisa , kumbuka nyie Allah kasema mnaweza kuelezea andiko kwa kutumia Takiya (uongo mtakatifu wa Allah )

Allah anasema
Koran 5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.....
 
Watu wa namna hiyo mfano huyu jamaa na wenzake mokiti na Capo delgado ni wakuwapuuza tu.



Cc : Kikwajuni One
Mshahuri apuuzie maandiko ya waislamu, tunachofanya ni Kuweka maandiko yenu , ni atua nzuri kupuuzia maandiko ya Allah
 
Labda itakuwa umechanganya matukio .Hili nililoleta uzi aliyefanya ni mwanafunzi wa Shule hiyo hiyo na sio mvamizi sasa niambie kama mwanafunzi wa hiyo shule ya Kikatoliki alikuwa Muislamu.

Nipe ushahidi wa maneno yako tafadhali.
Ni mwanafunz mwislam alimuua mwl wake. Mbona una ubish wa kijinga. We unafikiri shule za kikatoliki hazina wanafunz waislamu sio. Miriam bagamoyo uliwah kufika pale mpaka msikiti wamewajengea
 
Shot his mother ndo kuchoma kisu? Stop twisting the true events.
 
Shot his mother ndo kuchoma kisu? Stop twisting the true events.
Nimeweka kama mfano wa kuongezea kuhusu matukio ya mauaji.Kuwa ni swala la kawaida mtu kuua mtu kwa sababu mbalimbali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yesu anasema
"Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Yesu asema
"Msidhani nimekuja kuleta amani,sikuja kuketa amani bali upanga "
Matthew 26:39-46
Sasa wewe haya mambo yetu ya rohoni unayasoma na kuyatafsiri kama unavyotafsiri gazeti mtaani, umepotea mjomba..
 
FICHA UJINGA.
KAMA HUJUI VITU SEMA TUKUSAIDIE.

MAANA YA UPANGA.

Tena ipokeeni chapeo ya wokovu na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu. —WAEFESO 6:17
Hapa umemaliza, vilaza wanadhani maandiko ya biblia ni kama ya kwenye gazeti la Sani.
 
Wewe umeshapuuzwa tokea zamani hakuna mtu mwenye muda wa kujibu mashudu yako.Nafurahi kuona Waislamu humu wameanza kuelewa na kupuuza tu ,hiyo ni hatua nzuri sana kwani majadiliano na watu dizaini yako hayana afya kabisa.
Umempuuza vipi bila kumjibu, sema mnamkimbia, mnaonekana wepesi sana vichwani na wenzako hasa nikiwasoma maandiko yenu.
 
Umempuuza vipi bila kumjibu, sema mnamkimbia, mnaonekana wepesi sana vichwani na wenzako hasa nikiwasoma maandiko yenu.
Kitu chochote kisipofuata kanuni na misingi yake kinapoteza maana ,hata majadiliano yana kanuni za misingi yake.Siwezi kujadilina na watu ambao wapo kinyume na misingi hiyo.
 
Naona umeamua Kulipiza baada ya Juzi Mwalimu ( Patron ) wa Shule ya Kiislamu ya Sekondari ya QIBLATAIN Kawe yenye Mtaala Kificho wa Itikadi Kali Hassan Mohammed Kuuwawa kwa Kuchomwa na Bisu ( Kisu ) Kikatili na Mwanafunzi Mohammed Jabir baada ya Kuchoshwa na tabia ya Patron ( Mwalimu ) huyo Kuwaamsha kila Siku Alfajiri kwenda Kuswali wakati Wao wanataka kuendelea Kulala kutokana na Baridi tamu la sasa Mkoani Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…