KUMBUKIZI: Nyerere na umuhimu wa kuwa na watu “Radicals” ndani ya Afrika

KUMBUKIZI: Nyerere na umuhimu wa kuwa na watu “Radicals” ndani ya Afrika

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanganyika (ambaye Ukumbi alioufanyia mkutano jana Samia S. Hassan, Rais wa sita) alionya kuwa huwezi kuijenga Afrika kwa kuzuia uamsho wake.

Vizazi vipya vitataka mabadiliko kwa sauti, kwa ujasiri, na bila kuomba ruhusa.

Wananchi wanaposimama, si hatari kwa amani bali ni wito wa mageuzi.

Mustakabali wa Tanzania na Afrika utajengwa na watu wanaokataa kukaa kimya!

VIDEO:

 
Back
Top Bottom