Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

Pigo kubwa kwake ni pale alipo fariki baba yake.
Sawa na Musiba
 
Nakumba maneno ya Pastor Gwajima anzi zile
Eti "Zero brain"
 
Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuri
Maana yako watu waishi kwa kuogopana? Hapo Bashite alikuwa anafanya kazi yake. Tuache siasa taka !
 
Lakini tusijisahau kabisa kwamba Chama chetu watu wanakihama!!

Dawa ni kumfurusha M/kiti wetu
 
Ila jamaa alikuwaga na dharau moja mbaya,kama binadamu aisee tujifunze kufikiri nje ya vyeo au mafanikio yetu.

Huyo jamaa hapo alijichekesha uwongo na kweli ila moyoni alikuwa anaungua.
Makonda alimtegemea Magufuli kwa 100% na alijua ataishi milele na nchi atamwachia, huoni mpaka akina Pengo walianza kusema anayefaa kuachiwa nchi ni Makonda?
 
Maana yako watu waishi kwa kuogopana? Hapo Bashite alikuwa anafanya kazi yake. Tuache siasa taka !
Kufanya kazi kwa kufokea watu tena mbele ya hadhara? Huu ujinga hauna nafasi kwenye ustaarabu wa leo. Wewe unaona ni sawa kwa sababu pengine umekulia kwenye mazingira ambayo umeonyeshwa kuwa kufokea watu kwa majivuno ndiyo kufanya kazi. Kazi unaweza kufanya vizuri kabisa bila ujinga kama huu.
 
Makonda alimtegemea Magufuli kwa 100% na alijua ataishi milele na nchi atamwachia, huoni mpaka akina Pengo walianza kusema anayefaa kuachiwa nchi ni Makonda?
Ni kweli kabisa. Ila ana akili ndogo sana kwani kila mtu alijua kuna siku mwisho wake utafika. Sasa hivi na maadui wengi sana na hata unyasi ukiangukia paa la nyumba yake nadhani anaruka kwa mshtuko. Bahati yake ni moja tu: alikuwa amepiga fedha za kutosha hivyo kwenye mambo ya maisha hana shida, ingawa mamlaka ikiamua kufuatilia anaweza kuishia pabaya sana.
 
Wewe hakuna siasa za kudekezana kama manataka maendeleo, Usiige watu wa Western wale wanajitambua.
Sisi bado sana kufika huko.
 
Hii video inaonyesha jamaa anaweza kucontrol emotion, badala ya kuonyesha kakasirika akatabasamu.

Great character

Akafikie viwango vya mtangulizi wake. Unaweza kucontrol emotion kumbe ni dhaifu. Hayati hakuwa na hii sifa lakini vipi miaka 5 ya uongozi wake?
 
Amelaaniwa sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…