Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

Wanangu wana jamvi hamjamboni? Leo narejea mitifuano na ulevi wa madaraka wa baadhi ya malimbukeni wetu chini ya awamu ya tano mmojawapo akiwamo Daudi Bashite aka Paul Makonda. Kijana huyu mwenye elimu ya kutia shaka alitanua hadi akajiona bora kuliko hata aliyemtengeneza hadi akamtimua. Mojawapo ya vituko vyake ni kudhalilisha waliokuwa chini yake tokana na ukosefu wa busara na kuhofia kuwa aliyeko juu mngoje chini. Hapa ni clip ya mtifuano baina ya Bashite na katibu mkuu mpya wa CCM Daniel Chongolo ambaye wakati ule alikuwa mkuu wa wilaya tu akiwa chini ya Bashite.
 
Chongolo na Makonda mchungaji wao ni Mastahi wa KKKT kimara.

Wakristo tunaishi kwa kusameheana siyo visasi.

Nakutakia Dominica yenye baraka!
 
Mama Samia nae hakuwahi kuota kama siku ingekuja akawa Rais.

Cheo ukikitafuta sana hukipati
Mtu ukishakuwa makamu wa rais lazima ndoto zako zitakuwa ni urais wacha kuwadanganya watu.
 
Hii video inaonyesha jamaa anaweza kucontrol emotion, badala ya kuonyesha kakasirika akatabasamu.

Great character
Makonda kamuaibisha na hicho kicheko ni chakuficha aibu au kicheko cha aibu
 
Back
Top Bottom