Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

Kweli kila mtu ,Mungu anamakusudi yake kuwepo duniani ama kweli aliyosema Yesu akiwa Jerusalamu!Kila ajikwezaye atashushwa,Yeye ajishushaye Atakwezwa!
 
Hakuna mfumo wowote. Hivyo ni vyeo vya kupena tu. Ukibahatika hata wewe unakipata
Unajuwa sijui kwanini Tanzania watu hawajifunzi tu, kuna watu usiwaone poa tu ukadhani sio lolote mfumo wetu una watu kibao ndio sijui wanaitwa majasusi nini sijui... watu wengi wako katika system usijione uko juu ukawaona wa chini sio kitu hasa hapa Tanzania kama mnakumbuka mkurugenzi wa tume ya uchaguzi kama sikosei si alitolewa maneno ya kunyoshewa kidole na yule mkuu wa wilaya aliyekuwa masemaji wa Yanga mara jamaa huyo mkurgenzi wa tume ya uchaguzi. Mama Samia kishawaambia hujui boss wako kesho ni nani tuheshimiane. Tanzania heshimu kila mtu hujui kesho..
 
Makonda sasa hivi atakuwa mlokole kamili yaani maana bila maombi anaweza akapata msongo mkubwa wa mawazo. Kote alikonyeaga kambi mungu anakuinua kwa mpango issue ya kontena, kwa chongolo, lwa watendaji wengine. Hakujua kuweka akiba alifanya kazi kwa kiki.

Sent from my SM-T825 using JamiiForums mobile app
Msongo wa mawazo anao sana tu,,,,,,
 
Bwana Chogolo na wateule wengine waanze kazi mapema ya kuimarisha zaidi CCM iongeze idadi ya wanachama,wabunge na madiwani uchaguzi wowote ule utakaofuata.
Akuna kulala CCM mbere kwa mbereeee.
 
So mnamuona hata Kigwangala,siku zake za kuishi uraiani zinakalibia kuisha,baada ya kuwalukisha kichura wale asikali wa wanyana pori Tena watu wazima.


Aisee !
Kitendo kile kilisikitisha watu sana jamani!
 
Back
Top Bottom