Kumbukizi: Sokoine ndiye alibomoa uchumi wa nchi, na utawala wa sheria. Sioni chochote cha kumsifu, urathi wake uandikwe upya

Sokoine hakupendwa na Mafisadi kipindi kile na hata mafisadi wa sasa hawawezi kumpenda Sokoine na wala hawawezi kumpenda JPM milele. ! πŸ˜³πŸ™Œ

Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!
Unasema uongo na wewe ni mnafiki:. Unamtaja Sokoine kwamba ni wa hovyo kupata kutokea.Magufuli unatakiwa umlinganishe na marais wenzie waliotanguli au yeye ni mtakatifu? Halafu unasema ndie alileta sheria bomu, unataka kuniambia Bunge halikuwepo wakati huo? Nyerere alikubali vipi? Hata hivyo ile ndio ilikuwa best treatment kwa criminals( wahujumu, wezi, wanao ficha bidhaa nk) kwa wakati ule, Kwanini humsemi Nyelele kwa kutaifisha nyumba za watu walizojenga kwa jasho lao? Kwanini bas bunge/ nyerere wasitunge sheria kila mtu lazima ajenge?
 
Nina Mzee Mtaani hapa ana sema yeye ndio walikua Front line, ktk vita, baada ya vita Nyerere aka waambia sina cha kuwal
Kupigana vita ndiyo kazi ya mwanajeshi. Analipwa mshahara kwa kazi hiyo.
 
😳 Nimeshindwa kuelewa πŸ˜³πŸ™„
 
Waliomlakamikia ni wengi sana, tembelea viunga via mahakama, kuna hukumu nyingi "zinazomtukana" Na kumbagaza" kisomi
 
Jf imejaa watu wa kupinga, vinavyosemwa huku ni vya kuchuja sana.
Wengi humu ni vijana vijana wa miaka ya 2000 na 1990 wachache ndio wanaojadili mambo ya kina Nyerere na Akina Sokoine πŸ˜…πŸ™„

Wamelishwa sana Matango Pori πŸ˜³πŸ™„ !
 
Watanzania kama sio wote basi baadhi yenu ni wajinga kuliko ujinga wenyewe.
Kama sasa hivi Samia akivurunda mnawalaumu wasaidizi na washauri.
Waziri mkuu sio mkubwa kuliko rais.
Waziri mkuu ni kiranja tu na rais ndio mwenye uamuzi kipi kifanyike kipi kisifanyike.
Endapo Sokoine alijifanyia bila baraka za Nyerere angemtimua au unataka kusema Nyerere alizidiwa nguvu na Sokoine?

Maoni ya hovyo kabisa ewe ki.nembe
 
Waliomlakamikia ni wengi sana, tembelea viunga via mahakama, kuna hukumu nyingi "zinazomtukana" Na kumbagaza" kisomi
Mafisadi unategemea wangelimpenda?
Magufuli mafisadi walimpenda?
 
Watoto wa don msuya,, lazima mmaind tu
 
Mtoto wa 2000 bila shaka
Jibu hoja yangu Kama unazo sababu za Msingi. Nipinge kwa hoja, wala usikimbilie kutoa vijembe/Argue with reasons please.
Aliyewahi kuwa Rais wa Marekani Bw. Barrack Obama aliwahi kusema kwamba "Yes we need war, but not fracas war.

So, do you want to say that Kagera war was unavoidable??
 
Aseee kumtaja jpm kwenye maujinga yako tutakuja kukupiga tahira wewe
 
Sokoine alikuwa kichaa tu kama magufuli

Nchi hii tuna bahati mbaya ya kupata viongozi vijana wanaoact in negative direction badala ya positive direction
Nadhani tynayo katibabovu sana
Kama positive direction ni kukumbatia wezi na mafisadi. You must be Damned!
 
Uchumi mzuri na positivity inayozungumzwa na wacenge wachache humu ndio hio uliyoielezea hapo. Nawaita wacenge kwa sababu ni watu wenye roho za kishetani tu ambao wanafurahia kundi kubwa likiteseka huku wao wakiogelea kwenye utajiri wa kutisha kupitia ufisadi na ubadhirifu wa fedha za umma.

Magufuli na Sokoine wangepiga collabo hii nchi ingekuwa kama South Africa kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…