Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwamba safari yake ya moto sanaFebruari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake.
Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya uchunguzi wa shambulio hilo kufuatia agizo la Spika, lakini ripoti hiyo iliondolewa kwenye ratiba ya Bunge na kuzimwa kabisa.
Hili swali kilikuwa gumu sana kwa Mh Balozi MasilingiFebruari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake.
Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya uchunguzi wa shambulio hilo kufuatia agizo la Spika, lakini ripoti hiyo iliondolewa kwenye ratiba ya Bunge na kuzimwa kabisa.
ok.πFebruari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake.
Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya uchunguzi wa shambulio hilo kufuatia agizo la Spika, lakini ripoti hiyo iliondolewa kwenye ratiba ya Bunge na kuzimwa kabisa.