Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Tupac angebaki hai mpaka sasa angekua anamiliki kundi baya sana watu watukutu kuwai kutokea,alikua na nyota pia ya kupendwa na watukutu,watata,makabaila,wahuni n,k.
huyu ni mtukutu haswa naamini kama kweli yupo mbinguni basi keshafanya virugu za kila aina huko.
 
Na kwa majina waliyojipa na influence waliyokuwa nayo kipindi hicho napata picha kwann walikula shaba wote
 
Mmmh haihusian na bangi jamani kuna mtu mmoja hivi ana macho mazuri sana tena ye makubwa kiasi na wala havuti bangi wala kunywa pombe
Ukiwa nayo mazuri ni mazuri tu
Unaandikaga ndefu kumbe 🤣🤣
 
Tupac alikuwa na influence kubwa sana kutokana na harakati zake kuwa influenced na black panthers ( Mama yake alikuwa ni miongoni mwa members ), mhuni wala hakuwa mhuni kihivyo......
Alikuwa na uhuni wa kawaida wa kila black America aliyekulia kwenye Hoods.

Real gangsters mbona bado wapo hadi leo....
Dr dre - kuna kipindi alikuwa anakamatwa karibia kila wikiendi.
Kurupt - Huyu hata ukimuona unaogopa.
N.W.A wote hawa ndio ukiskiliza ngoma zao mpaka unaogopa. Mfano F.....ck police the way ilisababisha Vurugu compton.

Snoop, na wengine waliodanja kwa mambo mengine.
 
Hii nyimbo ndio ilimfanya wakamuua
 
Naomba nikuulize..
Malcom X na Luther King Jr waliuawa kwakua walikua wahuni??
Unajua chanzo cha Yaki Kadafi kukukia kwa kina 2Pac?? Yote ni ajili ya oppression ya wazungu kwa wa afrika.
#BlackPantherParty
 
Wengi wasilolijua au halisemwi ni kuwa 2pac alishiriki ktk kampeni nyingi za black panther akiwa mtoa mada kuhusu black consciousness. His mother Afen, amekufa akiwa ktk FBI most wanted list kwa sababu ya kuhamasisha haki za mtu mweusi USA.

He was very brainy person. Wengi wanamjua kwa kupitia nyimbo lakini si kwa mahojiano yake. Na naamini wazungu walikuwa hawapublish sana mahojiano yake. Kwa sababu alikuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Walimvictimize sana kupitia nyimbo zake kadhaa zilizokuwa zina parential guidance.

Yote kwa yote napenda his lyrics. Lakini flow yake ilizidiwa utamu na ya Notorious BIG.
 
Nadhani wengi hawamfahamu wala hawasikilizi nyimbo zake in details wakajua ujumbe anaoimba. Mimi nikiwa nasikiliza nyimbo zake lazima niwe nasoma na lyrics zake ili nimuelewa. Sasa mtu akisikia anavyofoka ukizingatia kingereza na watanzania ni maadui basi mtu anajua anaimba uhuni.

Tupac was genius,Mwanamabadiliko hasa kwa watu weusi. Kama una akili timamu lazima umuelewe anayoyaimba

Hapa nasikiliza wimbo wa Baby Don't Cry (Keep your Head Up II)
Kuna sehemu anasema...

"
No, you got to find a way to survive
'Cause they win when your soul dies
Baby, please don't cry, you got your head up
Even when the road is hard, never give up"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…