Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Jamaa msele tokea utotoni.
That's why he's a legend
Sema kawatembezea kinoma noma wadada. Huyo ni dada ake WakoJako Janett Jackson
FB_IMG_16614598371879368.jpg
 
Mbona mimi sio muhuni hata kidogo.
Jipe muda sikiliza vitu anavyoimba Tupac utaelewa jamaa alikua sio zaidi ya muhuni.
Kuna video moja alihojiwa akawa anamponda Michael Jackson na matajiri wengine weusi wenye mamilioni bank wakati kuna ndugu zao weusi wanakufa njaa. Kwa taarifa yako alikufa akiwa na 24yrs chalii tu ilaalikua na akili ya miaka 50.
That's why he's my role model
View attachment 2386343
Sure kk.. anaesema tupac muhuni hajawah sikiliza nyimbo zake
Ukisikiliza mashair ya kwmy nyimbo zake utagundua alkua mtu gn
#rip
 
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.

Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki Kadafi, familia yake na ya Tupac walikua marafiki na wote walikuwa wanachama cha Black Panther Party. kwaiyo muda mwingi aliutumia akiwa na kaka yake wa kufikia Tupac, Tupac alimizdi miaka 5/6.

Kwaiyo walikua pamoja kama kaka na mdogo kama vile Rommy Jones na Diamond wamekuwa. Umeona anajiita Yaki Kadafi and it sound like Gadaffi. Yes it is.

Kundi la Outlawz lililoundwa na Tupac, walikua wanatumia A.K.A za Madikteta mbalimbali;
  • Hussein Fatal - Jina la Sadam Hussein
  • E.D.I Mean - Jina la Idd Amin dada
  • Kastro - Fidel Castro
  • Mussolini - Benitto mussolini
  • Napoleon - Napoleon Bonaparte
Except 2Pac pekee ndio alijipa jina la mwanafalsafa kutoka Italia, Nicolo Machiaveli and 2Pac Remains as Phylosophical rapper ever lived.

Bahati mbaya wote wawili waliuawa kwa risasi ndani ya mwaka mmoja.
View attachment 2386245
kadafi mtu na nusu.
 
Back
Top Bottom