maoni yangu ni kwamba,Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa...
Ataporwa uraia.Kitenge atakipata anachokitafuta
Na Kasheku Msukuma plus yule mbunge wa Mtera
Sas huko ni kumuongelea vibaya mtu au kusema ukweli 😂😂😂Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa.
Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka".
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2902059
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Makonda anachekesha sanaMtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa.
Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka".
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2902059
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Na chademaNa Kasheku Msukuma plus yule mbunge wa Mtera
Alifaidi sana lile sambwanda
Hiyo misemo ilishapitwa na wakatimaoni yangu ni kwamba,
Yaliyopita si ndwele tugange ya sasa na yajayo 🐒
R.I.P. Laigwanan comrade ENL
Sambwanda la naniAlifaidi sana lile sambwanda
unanieleza mimi au huyo alieposti vitu vilivyopitwa na wakat 🐒Hiyo misemo ilishapitwa na wakati
Na Kasheku Msukuma plus yule mbunge wa Mtera