Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

Na chadema

Na CCM.

Kama tukiamua kuwatafuta waliomsema vibaya ENL basi huu msiba watashiriki wachache sana, wengine walimsema na wanamsema kwa kufuata mkumbo tu.

Ninachokiona sasa ni kuibuka kwa zile timu ndani ya CCM, kuna timu zimeungana. Na hapo Kitenge ametumiwa na timu aliyopo yule aliyeambiwa rafiki yake aliumwa na hakwenda kumuona kwahiyo asitambe sana msibani.
 
Subiria utaona jinsi litakavyo enda kujiliza msibani kinafki kama kawaida yake, hili lijamaa halina mshipa wa aibu kabisa 😁😁
 
Hayapiti kwa kuandika vimaneno tu.Mtashindwa kujifunza kufunga midomo yenu mipana kama wasutaji wa uswahilini na vithembe vyenu.
relax bas umekosa usingizi kabisa kwa stress au uko shift lindoni leo mkuu🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Alichokisema makonda kipindi kile juu ya lowassa,kilikuwa na ukweli tupu.kipindi ukitaka pesa,nenda kws lowassa,hata harambee za makanisani,ilikuwa ukitaka update pesa nyingi mwite lowassa
 
maoni yangu ni kwamba,

Yaliyopita si ndwele tugange ya sasa na yajayo 🐒

R.I.P. Laigwanan comrade ENL
Sawa, ila usisahau ya sasa na yajayo yanagangwa kwa kuangalia yaliyopita..!!! Utakwepaje sehemu uliyotumbukia kwenye shimo jana bila leo kulikumbuka shimo hilo ulilotumbukia jana?? WANAFIKI DAWA YAO KUWAKUMBUSHA UNAFIKI WAO..!!
 
Focused and visionary leaders huwa hawababaiki na yaliyopita, wanasonga mbele bila mbambamba wala haya hadi wayafikie malengo waliokusudia 🐒

Ndio maana regardless of deconstructive criticism jamaa hawatikisiki, they take that as an opportunity to do better in achieving their political objectives 🐒

And thus politics...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Kitenge angepotezea tu. Kwenye siasa hayo ni mambo ya kawaida. Kama CHADEMA waliweza kumpaka matope Lowasa kwa miaka kadhaa lakini baadae ndo wakaja kumsafisha hata kwa Makonda ni kupotezea tu. Makonda ana tofauti gani na Lema, Mbowe, Mnyika, Lissu, Heche, na waandamizi wengine wa CHADEMA waliokuwa wakimwandama EL?
Kuna tofauti kubwa kati ya kupaka matope na kusema ukweli.Usitake kulazimisha mambo ya ovyo aliyosema makonda kwa mzee kama lowasa kwakufananisha na walichokisema kina lema.Jukum la vyama vya upinzani ni kusema uozo uliopo ili wahusika wachukue hatua stahiki na ndio msingi wa hoja za upinzani dhidi ya lowasa na hizo shutuma zilijadiliwa bungeni ila alichosema makonda kilitokana na chuki na utovu wa nidhamu dhidi ya mzazi wake.Tusitake kusafisha mambo kinafiki kwasababu tu tuna manufaa nayo.Na Cdm haikumsafisha lowasa kwasababu haikumchafua ilitimiza wajibu kama chama cha upinzani,lowasa alisafishwa na serikali yenyewe kwakushindwa kuchukua hatua kwa dhana yakusema kaa kimya mwanaharamu apite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi nikuite mpumbavu kwa sababu nitakuwa nimekuvunjia heshima ila naona comment yako imejaa upumbavu mwingi. Kaa chini ufikirie tena au futa hiyo comment yako.
 
Back
Top Bottom