Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

Ukimwangalia bashite ongea yake na mambo yake na elimu yake ni sawa na Nape!
Ukisikiliza ongea yao unagundua kuwa ndio zao na ni watu wa cheap politics!
 
Ingekuwa waliongea ukweli wangesimama katika misimamo yao lakini sasa wanamsifia mbona
Kwan wamebadirika.Makonda alisema lowassa ndio anawatuma watu kwaio aache,kwa kauli hii unataka makonda asiende kumzika lowassa.Mbona nyie watu ni wa ajabu sana
 
Siasa ni mchezo wa 'timing'...eti hapo Makonda akimfundisha gwiji EL kufanya siasa!!
 
Uzuri internet haisahau......kwa kuwa ni maneno yake mwenyewe hana wa kumlaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…