Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.

maelezo yapo kwenye video hapa chini
 
Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.

maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
Kuna kitu kimeanza kuundwa taratibu kuna mdau aliwahi kudokeza humu miaka miwili nyuma na ndio hichi nakiona kimeanza
 
Mkuu inaonekana upo nje ya muda sana.
Hiyo video inamiaka si chini ya 12.
Kingine hakuna Mzanzibar ambae hautaki muungano, wazanzibar wanataka mamlaka kamili basi.
Punguza mbambamba.
Weka link ya hiyo post ya miaka 12 iliyopita
 
Mkuu hii umeiona? October 29 UNATIKI?
20250906_070150.jpg
 
Mkuu punguza jeuri.
Huyo mzanzibar wa kuandamana kwasasa hayupo kwenda kudai muungano uvunjwe.
You know nothing,, umeokota video huko Fb au instagram, umekurupuka bila kufanya research kama ni recent news.
Weka link mkuu.

Ujinga ni kujiongelesha bila fact
 
Hamjakatazwa.
Subirini show ya hiyo Oktoba
Endeleeni Kujipa Moyo 😂 Kumbe Mbwembwe zote kuzuia uchaguzi munajivunia maandamano ya JF na X 😂 salaaaaale, kwan zile harakat zenu za ku unfollow zimeishia wapi? Bado munaamin watz wataingia barabran kupambnia matumbu yenu?
 
Back
Top Bottom