Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.

maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
Japo hii clip ni ya zamani, hivi sasa ukitaka kutekwa na team Abdul na Mafwele uyaseme hayo hadharani. Jiwe alituharibia sana nchi na hiki kibibi Urojo ndiyo kinazidi kuiharibu zaidi kikishirikiana na wanamtandao.
 
Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.

maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
Better be careful of what they desire!Mexico haiwez kufurukuta kwapani mwa US kama ilivyo kwa UKRAINE kwapani mwa Urusi.Unapokuwa embedded na dola kubwa hata ukipewa mamlaka kamili(Taiwan/Hongkong in Chine as an e.g) huwez kuya'exercise utakavyo.So better wawe tu makini na matamanio hayo
 
Kuikumbatia Zanzibar ni kukumbatia zigo la misumali

Daah eti watu wa bara wanafungua madanguro ndio faida za muungano .Nimesikitika sana

Wao dada zao mbona mi-ch-onyo!! yao iko wazi imetobokaje

Yaani hamna watu wanafiki kama wa Zenji
Kwani Uongo, ninyi Madanganyika mmeleta Ukafiri kote huku, tazama Pemba hii leo, mwaumaliza utamaduni wa zanzibar
 
Wazanzibar hawawezi andamana haswa kipindi hichi bcoz Rais wa muungano katoka kwao, so now their good, halafu mmeenda Zanzibar wakuu kwanza? Kule kumenoga! Zanzibar inajengwa now, si Zanzibar ile, mambo mazuri huko, Marais wanao na wanatamba nao 😂
 
Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao.

maelezo yapo kwenye video hapa chini
View attachment 3466361
Kwanza sii kweli hayo ni maandamano ya kupinga muungano, ni maandamano ya jambo jengine la kheri tuu ila hoja ya muungano ndio ikaibuliwa!

Pili hoja ya kuupinga Muungano kwa hoja ya hati za Muungano ni hoja nyepesi sana. Japo ni kweli nakala halisi ya Muungano ya Zanzibar is nowhere to be seen, tunaweza kuwapatia ile duplicate ya Tanganyika na kuwafunga hivyo vilomolomo!

Tatu wao Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, waitishe wapige kura, kama wengi wakiamua hawautaki Muungano, tuachane kwa amani, tujikalie zetu pembeni tukishuhudia jinsi watakavyo anza tena kubaguana!. Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja

P
 
Kwani Uongo, ninyi Madanganyika mmeleta Ukafiri kote huku, tazama Pemba hii leo, mwaumaliza utamaduni wa zanzibar
Utamaduni wa zanzibar ni upi ndugu?mimi ninachojua nyie hamfanyi kazi,wavivu,hamna ardhi ,mna njaa kali,kutwa kushinda kwenye vinena mnazaliana kama panya buku,mna import hadi mchele🤣🤣,mmelegea,hamjasoma

Sioni ujasiri zaidi ya midomo yenu kwa unafiki na usengenyaji!!

Nitawaletea mkapa tena ashushe TPDF huko 🤣🤣
 
Kwanza sii kweli hayo ni maandamano ya kupinga muungano, ni maandamano ya jambo jengine la kheri tuu ila hoja ya muungano ndio ikaibuliwa!

Pili hoja ya kuupinga Muungano kwa hoja ya hati za Muungano ni hoja nyepesi sana. Japo ni kweli nakala halisi ya Muungano ya Zanzibar is nowhere to be seen, tunaweza kuwapatia ile duplicate ya Tanganyika na kuwafunga hivyo vilomolomo!

Tatu wao Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, waitishe wapige kura, kama wengi wakiamua hawautaki Muungano, tuachane kwa amani, tujikalie zetu pembeni tukishuhudia jinsi watakavyo anza tena kubaguana!.

P
What's your take kwenye suala la muungano, mwananchi wa kawaida anafaidika vipi na inakuwaje suala la opinion poll juu ya kukubalika kwa muungano linapigwa danadana.
 
Utamaduni wa zanzibar ni upi ndugu?mimi ninachojua nyie hamfanyi kazi,wavivu,hamna ardhi ,mna njaa kali,kutwa kushinda kwenye vinena mnazaliana kama panya buku,mna import hadi mchele🤣🤣,mmelegea,hamjasoma

Sioni ujasiri zaidi ya midomo yenu kwa unafiki na usengenyaji!!

Nitawaletea mkapa tena ashushe TPDF huko 🤣🤣
Hatujasoma lakini twakutawaleni Makafiri na Ujuha wenu. Marais wote watoka Pemba na twakutawala ninyi machogo marefu
 
Back
Top Bottom