Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

Hatujasoma lakini twakutawaleni Makafiri na Ujuha wenu. Marais wote watoka Pemba na twakutawala ninyi machogo marefu
Ha ha hivi maana ya kafiri unajua?ndugu hata unavyozungumza unaonekana kabisa haujakula tangu jana upige ndefu 🤣
Karibu maboga na makande hapa Iringa town upate nguvu ukaoe kwa mahali ya elfu ishirini ukazae mitaa ya "dole.."
 
Mkuu inaonekana upo nje ya muda sana.
Hiyo video inamiaka si chini ya 12.
Kingine hakuna Mzanzibar ambae hautaki muungano, wazanzibar wanataka mamlaka kamili basi.
Yeah!...haya yalifanyika na wanaharakati wa Uamsho kina sheikh Farid na wenzake enzi Rais wa Zanzibar akiwa Dr.Shein.
 
Ha ha hivi maana ya kafiri unajua?ndugu hata unavyozungumza unaonekana kabisa haujakula tangu jana upige ndefu 🤣
Karibu maboga na makande hapa Iringa town upate nguvu ukaoe kwa mahali ya elfu ishirini ukazae mitaa ya "dole.."
Acha kumjibu mpuuzi.
 
Si ushasema twazalisha watoto wengi, sa ujue ni kwasababu sie tuna nguvu za kiume hata ukimleta mkeo bado tutamzalisha watoto 10 weye huwezi hilo wallah
 
Kama Zanzibar hawataki muungani basi tuachane nao , sisi bara huenda tunawalazimisha wenzetu undugu , tuachane nao , yaani mpaka wanafikia kuandamana , Ila ni ubinafsi tu unawasumbua hawa wenzetu !
 
Si ushasema twazalisha watoto wengi, sa ujue ni kwasababu sie tuna nguvu za kiume hata ukimleta mkeo bado tutamzalisha watoto 10 weye huwezi hilo wallah
Ndo starehe ambayo mtu masikini kabisa duniani anaweza kufanya 🤣🤣

Dunia ilipo haiko era ya kushindana na uchi
 
Sidhani kwa sasa kama kuna mtanganyika anaetaka huu muungano wa kitapeli. Viongozi waungane wao watuache sisi raia hatutaki siasa za kitapeli.
 
Ha ha hivi maana ya kafiri unajua?ndugu hata unavyozungumza unaonekana kabisa haujakula tangu jana upige ndefu 🤣
Karibu maboga na makande hapa Iringa town upate nguvu ukaoe kwa mahali ya elfu ishirini ukazae mitaa ya "dole.."
Si ushasema twazalisha watoto wengi, sa ujue ni kwasababu sie tuna nguvu za kiume hata ukimleta mkeo bado tutamzalisha watoto 10 weye huwezi hilo
Ndo starehe ambayo mtu masikini kabisa duniani anaweza kufanya 🤣🤣

Dunia ilipo haiko era ya kushindana na uchi
Hovyo sana ninyi mibichwa meusi
 
Sidhani kwa sasa kama kuna mtanganyika anaetaka huu muungano wa kitapeli. Viongozi waungane wao watuache sisi raia hatutaki siasa za kitapeli.
Ngoja niwaambie , Umoja ndio nguvu lakini utengano ni udhaifu , Wazee wetu waliungana kwa upendo mkubwa ili yule Mkoloni asirudi tena , Ila tunaweza kurekebisha kasoro , na kuweka mambo sawa !
Mungu bariki wanzilishi wetu, na ibariki Tanzania yetu !
 
Sisi muungano hatujawahi kuuchukia ila dharau na ill treatments za hawa watoto wa kambo zina kwaza kwakweli sasa wacha waishi kwa namna watakavyo.
 
Tanganyika tunasubiri Wazanzibar watuokoe.

Aibu kubwa.
"Wazanzibari watuokoe" waongo wakubwa, kutwa kucha mnawatukana Wazanzibari. Iweje leo hao mnaowatukana waje wawaokoe!!!
 
1757193773689.png
 
"Wazanzibari watuokoe" waongo wakubwa, kutwa kucha mnawatukana Wazanzibari. Iweje leo hao mnaowatukana waje wawaokoe!!!
Bara wamelala usingizii wa mfu

Zanzibar tuokoeni bana
 
Back
Top Bottom